The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Basi Lewandoski angeshinda 2021.Yaani ukipambanishwa na Messi aliyeshinda kombe la dunia na kuwa mchezaji bora wa kombe la dunia,you are done.Lewandoski alishinda kama Haaland tu ,sema akapambanishwa na Messi aliyetoka kushinda Copa America .
Hii tuzo ni ya Messi wala haina ubish kbs.

Halland kashinda treble wkt mbya sana.. Wkt ambao mchezaj bora wa mda wote ndo kapata WC.

Sema ni ya mwsh kwa Messi utawala ss wa vijana utaanza nao Rasmi.
 
Mess na Ronaldo,benzema wameshatupisha Sasa , ballond'or zimebaki mikononi mwa vijana wetu ....

Haaland ,kdb , Alvarez,mbappe ,vinn .....

Hawa ndio wanaenda kutawala football ulaya ...
Ballon D'Or ni ya Real Madrid na Barcelona
Nadhani baada ya Messi atafuata Lewandowsky au Vinicius Junior au Rodrygo
 
Naunga mkono hoja hasa Grealish Bora kidgo KDB na alivyotoka Haland akawa mzurulaji kabisa.
 
Next
Community shield
Uefa super cup
Balon d'or
 
Super cup


Sevilla Vs man city


Hawa sevilla walimnyoroshaaa united goli 3-0 kama wamesimama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Tuko nao Sasa ....
Itakua lini hiyooooo??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwaks huu tunazoa yoteeee
 
Na huo ukuta ukabomolewaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…