The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Basi Lewandoski angeshinda 2021.Yaani ukipambanishwa na Messi aliyeshinda kombe la dunia na kuwa mchezaji bora wa kombe la dunia,you are done.Lewandoski alishinda kama Haaland tu ,sema akapambanishwa na Messi aliyetoka kushinda Copa America .
Hii tuzo ni ya Messi wala haina ubish kbs.

Halland kashinda treble wkt mbya sana.. Wkt ambao mchezaj bora wa mda wote ndo kapata WC.

Sema ni ya mwsh kwa Messi utawala ss wa vijana utaanza nao Rasmi.
 
Mess na Ronaldo,benzema wameshatupisha Sasa , ballond'or zimebaki mikononi mwa vijana wetu ....

Haaland ,kdb , Alvarez,mbappe ,vinn .....

Hawa ndio wanaenda kutawala football ulaya ...
Ballon D'Or ni ya Real Madrid na Barcelona
Nadhani baada ya Messi atafuata Lewandowsky au Vinicius Junior au Rodrygo
 
Finali za UCL ni mechi tofauti, mbona Haaland hakufurukuta hata kidogo, kama sio uzembe wa Inter kumuachia gap Rodri hiyo mechi ilikuwa ni shughuli kubwa. hakuna wa kulaumiwa hapo. Lutaro bado ni foward mzuri, simply alibanwa. Pia tukumbuke presure za UCL ni kubwa, wachezaji kama akina Drogba tu ndio foward asiyechukuliwa na presure za mechi kubwa
Jana Inter walikuja na mkakati kabambe ambao ilikuwa kidogo tu ilete matunda

Wachezaji muhimu wote wa City kule mbele walipewa kibano kweli kweli
  1. KDB
  2. Beernado Silva
  3. Grealish
  4. Gundogan
  5. Haaland
Hao wote jana walikutana na ukuta wa Berlin
Naunga mkono hoja hasa Grealish Bora kidgo KDB na alivyotoka Haland akawa mzurulaji kabisa.
 
Super cup

Sevilla Vs man city

Hawa sevilla walimnyoroshaaa united goli 3-0 kama wamesimama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tuko nao Sasa ....
Itakua lini hiyooooo??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwaks huu tunazoa yoteeee
 
Finali za UCL ni mechi tofauti, mbona Haaland hakufurukuta hata kidogo, kama sio uzembe wa Inter kumuachia gap Rodri hiyo mechi ilikuwa ni shughuli kubwa. hakuna wa kulaumiwa hapo. Lutaro bado ni foward mzuri, simply alibanwa. Pia tukumbuke presure za UCL ni kubwa, wachezaji kama akina Drogba tu ndio foward asiyechukuliwa na presure za mechi kubwa
Jana Inter walikuja na mkakati kabambe ambao ilikuwa kidogo tu ilete matunda

Wachezaji muhimu wote wa City kule mbele walipewa kibano kweli kweli
  1. KDB
  2. Beernado Silva
  3. Grealish
  4. Gundogan
  5. Haaland
Hao wote jana walikutana na ukuta wa Berlin
Na huo ukuta ukabomolewaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom