Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Hii tuzo ni ya Messi wala haina ubish kbs.Basi Lewandoski angeshinda 2021.Yaani ukipambanishwa na Messi aliyeshinda kombe la dunia na kuwa mchezaji bora wa kombe la dunia,you are done.Lewandoski alishinda kama Haaland tu ,sema akapambanishwa na Messi aliyetoka kushinda Copa America .
Halland kashinda treble wkt mbya sana.. Wkt ambao mchezaj bora wa mda wote ndo kapata WC.
Sema ni ya mwsh kwa Messi utawala ss wa vijana utaanza nao Rasmi.