The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Tuna mashabiki wachache na haibadilishi fact kwamba sisi ndio mabingwa wa ulaya, chukua hata conference kwanza ndio uje tuongee lugha moja.
 
Hiyo ni kawaida City ni plastic club, hata uingereza uwanja huwa haujai.
Ona huyu nae [emoji1787]
Plastic club ina uefa, wewe weka kombe lako la ulaya ulilobeba hapa tuone.

Toka umezaliwa mpaka leo mnabaki kunusa makwapa ya wengine tu, mpaka west ham ana conference, halafu unakuja kuimba taarabu za plastic club humu [emoji1787]
 
Tuna mashabiki wachache na haibadilishi fact kwamba sisi ndio mabingwa wa ulaya, chukua hata conference kwanza ndio uje tuongee lugha moja.
Shabiki wa kitimu kidogo kama arsenal anakuja kutuletea taarabu za mashabiki [emoji1787]

Timu haina kikombe chochote cha ulaya halafu anatulingishia mashabiki [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…