Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Punguza presha mpira unabadilika kulingana na mchezo huko watu wanapasha misuri sasa unataka wakamieBaada ya kuangalia game nimegundua hatuna proper right winger ...
Hii nafasi ni ya Mahrez ,na pep kwa jeuri yake anategemea bernado silva hio nafasi ....
Niseme tu mapema kuwa tunaenda kuchapika vibaya mno kama msimu unaanza hatuna winger wa kulia ...
Nilikuwa naumia Sana mipira unapigwa upande wa kulia ,et yupo walker [emoji23],haki walker sio mbunifu kabisa ile sehemu ,walker hawezi cheza kama right winger ...
Mpira unachezwa unaona kabisa kushoto mwa grealish ndio Kuna makeke ila huku chin ,hakuna kitu ,zile touch za Mahrez na kudribble kuingia ndani ya box hakuna ....
Huu msimu tutaona mengi Sana ...
Arsenal ana makombe 3 ya EPL acha ubishi wa kijinga.Si unaona sasa tukisema Man Shitty ni plastic fans mambugila mbugila tu ambao wamevamia mpira.
Sasa unabisha Arsenal haina makombe 13 ya Epl?
Unaonekana hujui chochote kuhusu soka.
Mkuu, unasema gvardiol ni wa kawaida tu kama Dias, hebu nambie, Dias akiwekwa sokon sasahivi atauzwa shingapi kwa makadirio ya haraka haraka?Gvardiol ni normal defender tu mkuu ,kama kina dias ,akanji ,....hio pesa tunayotaka kumpa ni kutokana na media kuhype zaidi ...ila ni pesa kubwa mnoo ...
Hana vina Saba vya Ramos hata kidogo ,ramosi ni defender katili mnoo... gvardiol sio mzuri kwenye 1 vs 1 na mshambuliaji mkali .....kaangalie mess alivokuwa anampita kombe la dunia Argentina vs crotia .....
Goli unaliona kabisa ni la gvardiol,mess anadribble mpira mpaka golin anafunga gvardiol yupo anasindikiza Sasa unasema huyo ni copy ya Ramos ...
Mashabiki wa haka ka timu kakijinga mnadhani ligi ilianza 1992.Arsenal ana makombe 3 ya EPL acha ubishi wa kijinga.
Man utd 13
Man city 7
Chelsea 5
Arsenal 3
Leicester 1
Liverpool 1
Blackburn 1
Hujui soka la uingereza.
Uwe unaelewa hakuna aliyekataa kuwa arsenal mna mataji 13 overall ya ligi, kinachosema ni taji la EPL specific. Taji la Epl lilianza 1992 na ndicho kinachoongelewa kwamba Arsenal mna mataji 3 ya EPL, wewe unabisha unasema mnayo 13, sasa onyesha miaka mliyobeba hayo mataji 13 ya EPL hapa tuone.Mashabiki wa haka ka timu kakijinga mnadhani ligi ilianza 1992.
Plastic fans for sho
Kwa hiyo Marko akisilimu akaitwa Hamis, anakuwa mtu tofauti?Uwe unaelewa hakuna aliyekataa kuwa arsenal mna mataji 13 overall ya ligi, kinachosema ni taji la EPL specific. Taji la Epl lilianza 1992 na ndicho kinachoongelewa kwamba Arsenal mna mataji 3 ya EPL, wewe unabisha sasa onyesha miaka mliyobeba hayo mataji 13 ya EPL.
Uwe unawaambia hata wana arsenal wenzio wakufundishe historia ya soka la uingereza so kuvamia nyuzi za watu kumbe mweupe kichwani.
Nyie mna mataji matatu ya EPL punguza ubishi 😎Kwa hiyo Marko akisilimu akaitwa Hamis, anakuwa mtu tofauti?
labda kama unabishania jina na mfumo wa kiuchezaji, mimi naangalia title.
Kwa sababu hata kabla ya 1992, mshindi wa first division, title yake alitambulika kama champion of England.
Kwa hiyo Arsenal ni machampion mara 13 haijalishi ligi iliitwa epl au first division bila kujali mfumo upi ulitumika.
Read that again, you imbecile.
Hiyo haikuwa hoja.Kwa hiyo Marko akisilimu akaitwa Hamis, anakuwa mtu tofauti?
labda kama unabishania jina na mfumo wa kiuchezaji, mimi naangalia title.
Kwa sababu hata kabla ya 1992, mshindi wa first division, title yake alitambulika kama champion of England.
Kwa hiyo Arsenal ni machampion mara 13 haijalishi ligi iliitwa epl au first division bila kujali mfumo upi ulitumika.
Read that again, you imbecile.
Huyo gugumaji tu.Nyie mna mataji matatu ya EPL punguza ubishi
Beki mzuri lazima awe katili ,akibali kubeba team kama timu inazamishwa ....Mkuu, unasema gvardiol ni wa kawaida tu kama Dias, hebu nambie, Dias akiwekwa sokon sasahivi atauzwa shingapi kwa makadirio ya haraka haraka?
Ukishasema gvardiol ni kama dias make umekubali ana deserve hiyo pesa.
By the way, beki mzuri si lazima awe mcheza rafu, mpira wa kizamani huo.
Under pep, beki lazima upige pasi za maana, uwe ball carrier panapotakiwa, mabeki wakatili wanaenda kwa kina simeone na mourinho huko.
Sio kila kocha anataka beki mcheza rafu, pep mwenyewe huwa anawakaripia mabeki kucheza rafu, unapoona anapush hilo deal yeye so mjinga.Beki mzuri lazima awe katili ,akibali kubeba team kama timu inazamishwa ....
Kucheza rafu Kwa final attack iwe normal ili kulinda point 3 ,mfano juzi carrasco alichomfanya lewis , anapitwa then unamuacha what fo ?,defender hutakiwi kukubali mtu akupite iwe Kwa halali au haramu either ichezwe foul au umnyanganye mpira huyo ndio perfect defender .....
Dias tumemchukua Kwa bei gani ,hata 70 m haijafika ,Sasa huyu gvardiol wanataka 100m + adds on ,huu ni uhuni ,pesa nyingi sana hio ....
Dias tumenunia 62m +2m add on ,, pesa ya kawaida Sana hio ...Sio kila kocha anataka beki mcheza rafu, pep mwenyewe huwa anawakaripia mabeki kucheza rafu, unapoona anapush hilo deal yeye so mjinga.
Dias tulimnunua £ 70m maana yake tukimuuza sasahivi atauzwa kwa hiyohiyo hela?
Wakati tunamnunua dias alikua kwenye competition kama alivyo gvardiol?
Demand ya mchezaji sokoni ndio ina determine bei yake ndo mana nkakuuliza dias akiwekwa sokoni sasa hivi atauzwa bei gan unafikiri? (maana ndo umemlinganisha na gvardiol)