Wapuuzi hawa .. walimuuza Kolo Toure ona sasa. (Kule Anfield ana'star' kwenye defence si mchezo ..)
Mkuu, kweli kabisa. Richards kwa kweli wanammaliza. Leo hata kwenye squad hakuwepo ..!!kaka hata leo hii ukimchukua chamackh na kumuhakikishia namba atajituma mbaya kuonesha kuaminiwa na jamaa alikuwa anakaza sana maana sasa hivi richards hapangwi ambaye angekomaa pale kati kwani zabaleta kishaanza kuchoka maana umri sio mchezo..
Sio Kompany tuu, City wabovu kwenye defence yao, kasoro kwa Zabaleta tu.
Huyo Kompany mwenyewe huwa akikutana na team za Europe huwa anageuka sungusungu!
nshazipata mkuu lakini ligi bado sana..napenda kutuma salam zang za rambramb kw mkuu ndetchia
nshazipata mkuu lakini ligi bado sana..
thanks much negredo and yaya for made my week end to end smoothly...
City 2 - 0 Hull city