Herzogg
JF-Expert Member
- Apr 17, 2024
- 2,179
- 738
Sioni pep kua tatizo, tupo na upepo mbaya tu, hutokea kwenye soka vipindi kama hivi.Kocha aondoke, mbinu zimeisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sioni pep kua tatizo, tupo na upepo mbaya tu, hutokea kwenye soka vipindi kama hivi.Kocha aondoke, mbinu zimeisha
Beautiful pass to FodenWhat a pass from kova.
😂😂😂What a pass from kova.
Excuses!!!!!Baada ya game ya Sporting Lisbon. Bernard Silva alisema ndani ya team kuna shida inaendelea na inahitaji kufanyiwa kazi.
Kocha alipoulizwa na Waandishi akasema hakuna shida yoyote.
Kwa matokeo haya ni majibu sahihi ya kile kinaendelea ndani ya club.
Pep akibaki watauzwa wengi dirisha lijalo la usajili.Baada ya game ya Sporting Lisbon. Bernard Silva alisema ndani ya team kuna shida inaendelea na inahitaji kufanyiwa kazi.
Kocha alipoulizwa na Waandishi akasema hakuna shida yoyote.
Kwa matokeo haya ni majibu sahihi ya kile kinaendelea ndani ya club.
Pep mpira wake wa janjajanja watu wameshamsoma, wanamuachia achezee mpira yeye, ikipigwa counter attack nyuma wanakuta uchochoro ni kusukuma ndani tu.
Asipoboresha mbinu zake akawa anacheza mpira wa kiutu uzima, akikutana na Liverpool au Barcelona atakula mkono au wiki.
Hii hoja ya "pep washamjulia" huwa naona ni hoja dhaifu sana.Pep mpira wake wa janjajanja watu wameshamsoma, wanamuachia achezee mpira yeye, ikipigwa counter attack nyuma wanakuta uchochoro ni kusukuma ndani tu.
Asipoboresha mbinu zake akawa anacheza mpira wa kiutu uzima, akikutana na Liverpool au Barcelona atakula mkono au wiki.
Hua unacheki ball kweli mkuu?Pep mpira wake wa janjajanja watu wameshamsoma, wanamuachia achezee mpira yeye, ikipigwa counter attack nyuma wanakuta uchochoro ni kusukuma ndani tu.
Asipoboresha mbinu zake akawa anacheza mpira wa kiutu uzima, akikutana na Liverpool au Barcelona atakula mkono au wiki.
Hii ndio mara ya kwanza pep anapoteza mechi 4 mfululizo kwenye career yake ya ukocha.
Mechi ninazomaanisha hapa ni zile za mashindano ya ligi husika (EPL, laliga, bundesliga, UEFA, copa del rey, carabao, FA, n.k)Acha urongo nne zingine za mfululizo hizo hapo. View attachment 3148543
Wewe unamfundisha pep?Pep mpira wake wa janjajanja watu wameshamsoma, wanamuachia achezee mpira yeye, ikipigwa counter attack nyuma wanakuta uchochoro ni kusukuma ndani tu.
Asipoboresha mbinu zake akawa anacheza mpira wa kiutu uzima, akikutana na Liverpool au Barcelona atakula mkono au wiki.