King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,077
- 2,705
Time Will tellHuyo nae kufikia april mtamkataa, nyumbu huwa mnakawia kwani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Time Will tellHuyo nae kufikia april mtamkataa, nyumbu huwa mnakawia kwani.
Na Bado kipara hajacheza na amorimMatheo Kovacic atakua nje kwa takriban mwezi mzima.
Dirisha lifunguliwe tu asee.
Mnafikiri zile 4 za sporting zitajirudia? ThubutuuNa Bado kipara hajacheza na amorim
GUNDU tayari kaishaGundogan toka arudi City amekua na poor form kabisa.
Katika game zote alizocheza hajapiga key pass yeyote wala kutengeneza nafasi, strength yake pekee imekuwa ni kwenye ball retention na pass accuracy, creativity hakuna tena.
Hii imesababisha tumeshindwa kufunga magoli ya kutosha ndani ya mechi 6-7 zilizopita.
Ukiacha KDB, ambaye bado hana fitness ya asilimia mia kuanza, hatuna creative playmaker aliyekwenye form, Foden na Gundo wameflop.
Ukiongeza na kwamba leo tunakosa DM sababu ya injury ya kova, nashindwa kuelewa leo pep ataanzaje pale kati.
All the they will fulooop soon as possibleGood news.
Grealish, Akanji na Stones wote wamefanya training na timu.