The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Leo hii Mchezaji bora wa dunia wa mwaka 2024, atakuwepo pale etihad na tuzo yake.
IMG-20241119-WA0008.jpg
 
Good news.

Grealish, Akanji na Stones wote wamefanya training na timu.
 
Gundogan toka arudi City amekua na poor form kabisa.

Katika game zote alizocheza hajapiga key pass yeyote wala kutengeneza nafasi, strength yake pekee imekuwa ni kwenye ball retention na pass accuracy, creativity hakuna tena.

Hii imesababisha tumeshindwa kufunga magoli ya kutosha ndani ya mechi 6-7 zilizopita.

Ukiacha KDB, ambaye bado hana fitness ya asilimia mia kuanza, hatuna creative playmaker aliyekwenye form, Foden na Gundo wameflop.

Ukiongeza na kwamba leo tunakosa DM sababu ya injury ya kova, nashindwa kuelewa leo pep ataanzaje pale kati.
 
GUNDU tayari kaisha

KDB ndio tayari biashara imeisha

Kifupi Pepo Gadiola ataondoka England kwa aibu saana

Mwaka aliochukua UEFA angepaswa kukimbia kama ambayo Sir Alex Ferguson Alivyokimbia
 
Defence leo at least kuna uhai, wa kuhofia pale nyuma ni walker tu maana ameshakua tia maji of late.

Pale kati ndo shughuli sasa, Gundo sio solid defensively ila ni mzuri kwenye kusambaza mipira, nafikiri stones atakuwa anaingia pale kati kuweka double pivot.

Spurs watatupa shida kwenye transition, sioni kama tutaweza ku deal nao vizuri kwenye hiyo sekta.

Kule mbele matumaini yapo kwa Foden ambaye ka flop.
Atakuwa anabadilishana na silva kule kulia, wote wakiwa kwenye form basi tunaweza kupata angalau goli 2, tunamiss sana creativity pale kati.
 
Game tumeanza kwa kasi sana, tusianze upuuzi wa kuja kukata moto dakika za mbele.
 
Leo ni kama tunacheza na double 10's

Gvardiol na Walker wamesogea juu kabisa, savinho na foden wameingia kati.
 
Back
Top Bottom