The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Baada ya game ya Sporting Lisbon. Bernard Silva alisema ndani ya team kuna shida inaendelea na inahitaji kufanyiwa kazi.

Kocha alipoulizwa na Waandishi akasema hakuna shida yoyote.

Kwa matokeo haya ni majibu sahihi ya kile kinaendelea ndani ya club.
 
Excuses!!!!!
 
Pep without Rodri
1731185933946.jpg
 
Baada ya game ya Sporting Lisbon. Bernard Silva alisema ndani ya team kuna shida inaendelea na inahitaji kufanyiwa kazi.

Kocha alipoulizwa na Waandishi akasema hakuna shida yoyote.

Kwa matokeo haya ni majibu sahihi ya kile kinaendelea ndani ya club.
Pep akibaki watauzwa wengi dirisha lijalo la usajili.
 
Pep mpira wake wa janjajanja watu wameshamsoma, wanamuachia achezee mpira yeye, ikipigwa counter attack nyuma wanakuta uchochoro ni kusukuma ndani tu.

Asipoboresha mbinu zake akawa anacheza mpira wa kiutu uzima, akikutana na Liverpool au Barcelona atakula mkono au wiki.
 
Kucheza Premiership unahitaji ku-survive misimu miwili kuweza kununua wachezaji wa kupambana na yeyote kama team aina madeni. Mengine kocha.

Nani kanunua team na source ya kununulia team ina impact kubwa kwa jinsi share yao ya mapato itakapoenda. Kununua wachezaji ili team ibaki premiership au walipe madeni.

Kwa sasa hakuna kibonde wa uhakika zaidi ya Southampton kwenye premiership mwingine yeyote kumtwanga sio rahisi vile.
 
Pep mpira wake wa janjajanja watu wameshamsoma, wanamuachia achezee mpira yeye, ikipigwa counter attack nyuma wanakuta uchochoro ni kusukuma ndani tu.

Asipoboresha mbinu zake akawa anacheza mpira wa kiutu uzima, akikutana na Liverpool au Barcelona atakula mkono au wiki.
Hii hoja ya "pep washamjulia" huwa naona ni hoja dhaifu sana.

Toka aje pale city mwaka 2016 mpaka 2023 walikua hawajui kwamba pep anacheza possession based football?

Walikua hawajui kwamba timu za pep mostly huwa zinakuwa weak zisipokuwa na mpira?

Walikua hawajui kwamba kumzuia pep kamata midfield tu umemaliza kazi?
 
List yetu ya majeruhi inatisha.
Hata wale ambao wamerudi bado hawapo fiti kuanza.

Jana walker kapiga dakika zote 90 na hakua fiti asilimia 100, yote hii ni kwa sababu ya kukosekana option kwenye right back.

Hali yetu ni mbaya sanaa.
 
Hii ndio mara ya kwanza pep anapoteza mechi 4 mfululizo kwenye career yake ya ukocha.
 
Pep mpira wake wa janjajanja watu wameshamsoma, wanamuachia achezee mpira yeye, ikipigwa counter attack nyuma wanakuta uchochoro ni kusukuma ndani tu.

Asipoboresha mbinu zake akawa anacheza mpira wa kiutu uzima, akikutana na Liverpool au Barcelona atakula mkono au wiki.
Hua unacheki ball kweli mkuu?
 
Pep mpira wake wa janjajanja watu wameshamsoma, wanamuachia achezee mpira yeye, ikipigwa counter attack nyuma wanakuta uchochoro ni kusukuma ndani tu.

Asipoboresha mbinu zake akawa anacheza mpira wa kiutu uzima, akikutana na Liverpool au Barcelona atakula mkono au wiki.
Wewe unamfundisha pep?
 
Back
Top Bottom