CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,634
- 1,001
Hakika. Arsenal nae sijui nini kinamfelisha. Kapoteza kabusa ile mentality ya misimu miwili nyumaAnnual Review of Football Finance: Premier League Clubs
The 2022/23 season was another record year, with Premier League clubs’ revenue surpassing £6 billion for the first time.www.deloitte.com
Kucheza Premiership unahitaji ku-survive misimu miwili kuweza kununua wachezaji wa kupambana na yeyote kama team aina madeni. Mengine kocha.
Nani kanunua team na source ya kununulia team ina impact kubwa kwa jinsi share yao ya mapato itakapoenda. Kununua wachezaji ili team ibaki premiership au walipe madeni.
Kwa sasa hakuna kibonde wa uhakika zaidi ya Southampton kwenye premiership mwingine yeyote kumtwanga sio rahisi vile.
Kwamba tokea 2016 walikua hawajui tactics za pep ndio waje kuzoea 2024?Jamaa timu za epl zimeshazoea mbinu zake.
Anatakiwa kubadili mbinu, yaani kama Gamondi tu
Ruben amorim ndio amekuja kumnyoosha kipara.Kwamba tokea 2016 walikua hawajui tactics za pep ndio waje kuzoea 2024?
Hebu tuweni serious basi.
Huyo nae kufikia april mtamkataa, nyumbu huwa mnakawia kwani.Ruben amorim ndio amekuja kumnyoosha kipara.