The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kwa majerudi ya city, lazima atembelee kichapo tu.
Doku nje
Dias nje
Grealish nje
Stones nje
Rodri nje.
-------+++++++++++++
Wengine wametoka kuwa majeruhi, na hawapo fiti.
De Bruyne
 
Bad news keep piling up!

Matheus Nunes kaongezeka kwenye list ya wachezaji wa wodini (injury)
 
Huko UEFA hawa wadada wanagawa dozi tu, 3/3 ......9 points.
IMG-20241113-WA0004.jpg
 
Pep Guardiola has reached an agreement in principle over a Man city contract extension.

The legendary catalan boss is set to put pen on paper on a new, one year extension that will run until summer 2026 with the deal said to be 99% done.

Announcements expected soon.

Football insider
 

Kucheza Premiership unahitaji ku-survive misimu miwili kuweza kununua wachezaji wa kupambana na yeyote kama team aina madeni. Mengine kocha.

Nani kanunua team na source ya kununulia team ina impact kubwa kwa jinsi share yao ya mapato itakapoenda. Kununua wachezaji ili team ibaki premiership au walipe madeni.

Kwa sasa hakuna kibonde wa uhakika zaidi ya Southampton kwenye premiership mwingine yeyote kumtwanga sio rahisi vile.
Hakika. Arsenal nae sijui nini kinamfelisha. Kapoteza kabusa ile mentality ya misimu miwili nyuma
 
Jamaa timu za epl zimeshazoea mbinu zake.

Anatakiwa kubadili mbinu, yaani kama Gamondi tu
 
Back
Top Bottom