Gundogan toka arudi City amekua na poor form kabisa.
Katika game zote alizocheza hajapiga key pass yeyote wala kutengeneza nafasi, strength yake pekee imekuwa ni kwenye ball retention na pass accuracy, creativity hakuna tena.
Hii imesababisha tumeshindwa kufunga magoli ya kutosha ndani ya mechi 6-7 zilizopita.
Ukiacha KDB, ambaye bado hana fitness ya asilimia mia kuanza, hatuna creative playmaker aliyekwenye form, Foden na Gundo wameflop.
Ukiongeza na kwamba leo tunakosa DM sababu ya injury ya kova, nashindwa kuelewa leo pep ataanzaje pale kati.