***** endelea kujifariji kwanza tanzania hamna mashabik wa man shity , wote nyie mamluki rudini kwenye timu zenu za awali mbovu,Msimu wa 2020/2021 kipindi kama hiki tulikua nafasi ya 6 kama sio ya 7.
Ule msimu tunapigwa mpaka 5 na Leicester.
Kelele zikawa nyingi sana tukahisi city inaenda kupotea.
Mwezi May tukatanganza ubingwa.
Hizi kauli za "pep washamjulia" "zama za pep zimefika mwisho" hazijaanza msimu huu.
wapi nimesema tutakua mabingwa? unakuja na maneno yako mfukoni halafu unaniletea makasiriko mimi.***** endelea kujifariji kwanza tanzania hamna mashabik wa man shity , wote nyie mamluki rudini kwenye timu zenu za awali mbovu,
Kichwa chako kitakua kimejaa mavi badala ya akili kama unafikiria liverpool hii inayocheza soka safi la kimbinu kwamba itapoteza muelekeo na nyie muwe mabingwa. [emoji706]
Oyaa! Wenzio walikimbia uzi baada ya kuona timu haieleweki ukabaki pekee yako sasa ni mwendo wa kujiongelesha mwenyewe tuπMsimu wa 2020/2021 kipindi kama hiki tulikua nafasi ya 6 kama sio ya 7.
Ule msimu tunapigwa mpaka 5 na Leicester.
Kelele zikawa nyingi sana tukahisi city inaenda kupotea.
Mwezi May tukatanganza ubingwa.
Hizi kauli za "pep washamjulia" "zama za pep zimefika mwisho" hazijaanza msimu huu.
Mi nilifikiri anamaanisha kapoteza mechi ya 6 mfululizoJana mashabiki wa Liva wanamuimbia pep kwamba atafukuzwa asubuhi ya leo.
Mwamba kawanyooshea vidole sita, hiyo ni kuwaambia "I've won six f*cking PL titles you douche bags"
Mnaona inafuata ratiba nyepesi π π πSijui kwanini tu, pamoja na kwamba tumepoteza ila nina amani kabisa na imani kwamba hii ndo game yetu ya mwisho ku suffer kwa mwaka huu.
Something positive is building up.
Alimaanisha amepokea vipigo 6 kati ya mechi 7Jana mashabiki wa Liva wanamuimbia pep kwamba atafukuzwa asubuhi ya leo.
Mwamba kawanyooshea vidole sita, hiyo ni kuwaambia "I've won six f*cking PL titles you douche bags"
Safari hii hatuwacheki tena bali tunawaonea hurumaWachezaji kama Ederson, Gvardiol, ambao walikua ni top performers mwanzoni mwa ligi sasahivi wamedrop sababu ya kukosa confidence.
Ujio wa Dias, Doku na stability ya Ake naona unaweza kutunufaisha kuanzia hapa.
Huyo tutaamka nae.Nottingham Forest atakufa vibaya, tumuombee
Ya mwezi huu na wa kwanza ina unafuu (si nyepesi), ya February ndio mtiti ulipo, especially kama tukidondokea na play off CL.Mnaona inafuata ratiba nyepesi π π π