The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

You fools bring back the balon odor you stole from vinicious jnr..maybe you will be forgiven from the ultimate CURSE that will sink your stupid team to the deepest grave.
Zingatia hii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Timu ndogo ni timu ndogo tu,vikombe viwili,vitatu mkaanza kelele 😝

Huwezi linganisha na timu kubwa kama Liverpool

Tunawangoja mshuke daraja mkapambane na akina Cardiff huko 😝
 
Kama wewe umezaliwa kabla ya mwaka 2000 wewe sio shabiki wa kweli wa Man city utakuwa mamluki baada ya timu yako kuvurunda. Rudini kwenye timu zenu sasa.
 
Timu imeshaoza to the point hata tukipoteza sio maajabu tena, it doesn't even hurt anymore.

Wacha dirisha lifunguliwe tulete sura mpya mbili tatu tuone panapo vuja.
 
Timu imeshaoza to the point hata tukipoteza sio maajabu tena, it doesn't even hurt anymore.

Wacha dirisha lifunguliwe tulete sura mpya mbili tatu tuone panapo vuja.
Anauzwa nani na nani kwanza ili muwe na sifa ya kusajili?
 
Timu imeshaoza to the point hata tukipoteza sio maajabu tena, it doesn't even hurt anymore.

Wacha dirisha lifunguliwe tulete sura mpya mbili tatu tuone panapo vuja.
Ingawa tumepoteza ila kitendo cha Foden kufunga kimenipa furaha.
 
Pep Guardiola anapaswa akapumzike kama alivyofanya mshikaji wake Jurgen Klopp.

Amefika ukomo wa kufikiri ni muda wa kuliacha jukwaa kabla mashabiki hawajarusha makupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…