The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Match yenye high stakes kwenye round hii ni ya PSG vs City
 
For long time tumekuwa na tatizo la kuwa na CB's wasio na pace (Dias, stones, Ake, Akanji, Kompany, Zabaleta, Otamendi, Mangala)

Now tuna Khusanov na Reis, wana pace.
Nahisi pep atakuwa anamtumia Reis zaidi kama fullback
 
For long time tumekuwa na tatizo la kuwa na CB's wasio na pace (Dias, stones, Ake, Akanji, Kompany, Zabaleta, Mangala)

Now tuna Khusanov na Reis, wana pace.
Nahisi pep atakuwa anamtumia Reis zaidi kama fullback
Hao jamaa wanaweza kuanza gemu ya leo?
 
Stones amerejea kikosini.

Huyu jamaa akicheza leo anarudi wodini tena 🤣
 
Aah kmmk leo umeme unazingua balaa naweza kosa uhondo sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…