Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao jamaa wanaweza kuanza gemu ya leo?For long time tumekuwa na tatizo la kuwa na CB's wasio na pace (Dias, stones, Ake, Akanji, Kompany, Zabaleta, Mangala)
Now tuna Khusanov na Reis, wana pace.
Nahisi pep atakuwa anamtumia Reis zaidi kama fullback
Araujo haja match vyema na wenzie,Barca nyuma wanavuja balaa.
Hao kucheza UEFA ni mpaka kuanzia 16 bora, kama tukivuka, kwa sheria za UEFA hawaruhusiwi ila mechi za ndani (EPL, FA) watakuwepo.Hao jamaa wanaweza kuanza gemu ya leo?
Sawa masterHao kucheza UEFA ni mpaka kuanzia 16 bora, kama tukivuka, kwa sheria za UEFA hawaruhusiwi ila mechi za ndani (EPL, FA) watakuwepo.