The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Wabovu sana hao jamaa inatakiwa tufanye kitu mapema sana kufix hiyo shida

Duuh safi sana vijana kwa kazi nzuri, nakumbuka msimu leicester wanachukua ubingwa kuna game walitupiga 4
Hata mwaka jana walitupiga 4-2 kwao lakin
 
Hivi bado Kuna watu, wanamfananisha KDB na Pogba, kama wapo wanyooshe vidole. Mechi moja assist tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…