Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Ukuta wetu bado siuamini sana ndugu yangu kwahyo ilikujihakikishia ushindi inabidi tuwe tunapata magori mengi kama mwanzoni mwamsimu3-1
54
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukuta wetu bado siuamini sana ndugu yangu kwahyo ilikujihakikishia ushindi inabidi tuwe tunapata magori mengi kama mwanzoni mwamsimu3-1
54
Tuombe dua mkuu maana safari bado ni ndefuMsimu huu ndoo ni yetu wakuu
Mkuu mi sikuw na presha. Sababu mpira tumecheza vizuri sana.Nilikua na presha sana baada ya kuona wamechomoa jamaa
Sijapata wasaa wa kuangalia game kiongozi ila kama wamepiga mpira mwingi inatia faraja sanaMkuu mi sikuw na presha. Sababu mpira tumecheza vizuri sana.
Mkuu tumecheza mpira mzuri.Sijapata wasaa wa kuangalia game kiongozi ila kama wamepiga mpira mwingi inatia faraja sana
Habari njema sana hii mkuu, tujipange sasa kamati kwaajiri ya kuwavaa Arsenal pale EmiratesMkuu tumecheza mpira mzuri.
Nikweli hata ukiaglia bao tulilofungwa ni ubovu waoUkuta wetu bado siuamini sana ndugu yangu kwahyo ilikujihakikishia ushindi inabidi tuwe tunapata magori mengi kama mwanzoni mwamsimu
Wabovu sana hao jamaa inatakiwa tufanye kitu mapema sana kufix hiyo shidaNikweli hata ukiaglia bao tulilofungwa ni ubovu wao
Duuh safi sana vijana kwa kazi nzuri, nakumbuka msimu leicester wanachukua ubingwa kuna game walitupiga 4
Hata mwaka jana walitupiga 4-2 kwao lakinWabovu sana hao jamaa inatakiwa tufanye kitu mapema sana kufix hiyo shida
Duuh safi sana vijana kwa kazi nzuri, nakumbuka msimu leicester wanachukua ubingwa kuna game walitupiga 4
i conquer with u!Msimu huu ndoo ni yetu wakuu
Heeh! jaman 5 tena?FT 5-1
Asee kumbe wametunyanya sana hawa jamaa acha na sisi tuwaachie kovu la maishaHata mwaka jana walitupiga 4-2 kwao lakin
Akitokea wa kunyoosha kidole unitag mkuuHivi bado Kuna watu, wanamfananisha KDB na Pogba, kama wapo wanyooshe vidole. Mechi moja assist tatu
Kabisa wamepata cha motoHeeh! jaman 5 tena?
Asee kumbe wametunyanya sana hawa jamaa acha na sisi tuwaachie kovu la maisha
Duh, Goli la Aguero la tano,,huyu jamaa hafai aisee,,, nashangaa waingeleza wanavomshabikia Kane kuwa ni foward Matata,,kwa Aguero bado sana