Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,517
- 1,044
Kuna watu wanapenda kufananisha vitu vya maana na mambo ya kijinga Mkuu...!Hivi bado Kuna watu, wanamfananisha KDB na Pogba, kama wapo wanyooshe vidole. Mechi moja assist tatu
Mkuu unayasoma haya maandishi yako sasa?Mhh..hii thread hivi itadumu kweli?
Ninachompenda KDB mechi kubwa anafanya vizur sana ukiweza kuyatungua ma top 6 walau inatia moyo kwa kuwa ndo unaopambana nao ktk ubingwa ushawakata point vitumu vidogo mahesabu tuHahahah!! Nikweli kabisa kiongozi wangu huko ni mbali sana kwakweli, kama ni race acha tumuwekee hao hao kina Pogba kwanza
Fact mkuu pep hajaampa jukum hilo mara atokee bench wafungaj wapo wengi mnao ila kama mipira yote itue kwa kun aisee ingekuwa habar nyingineAguero angekuw anacheza team ambay inamtegemea yey peke yake nadhani angekuw na magoli zaidi. Pale alipo nitofauti na pale kwa kina Kane.
Asante mkuu, mi nilipokuw nimekaa kuna mashapik wa Man Utd walisema et lazima nifungwe walipoona wamesawazisha. Nikawambia haw nawafunga zaidi ya ma 3. Walipoona bao la 3 nilibaki peke yangu. Lile bao walilotufunga. Ndo lilitusaidia kuwafunga mengi. Walijisahau sana baada yakusawazisha.Mkuu kayeke jana nimeminya koradan hadi zimepusuka walau mtoa sare tu nineishia kupata maumivu hongereni chuma 5 habar mbaya
City kumfunga etihad ni ngumu sana kwa sasa mkuuAsante mkuu, mi nilipokuw nimekaa kuna mashapik wa Man Utd walisema et lazima nifungwe walipoona wamesawazisha. Nikawambia haw nawafunga zaidi ya ma 3. Walipoona bao la 3 nilibaki peke yangu. Lile bao walilotufunga. Ndo lilitusaidia kuwafunga mezi. Walijisahau sana baada yakusawazisha.
Tutakuja kufungika tu. Nina wasiwasi na Man UtdCity kumfunga etihad ni ngumu sana kwa sasa mkuu
Tafuta timu nyingine yakua na wasiwasi nayo kiongozi ila sio huyo Man UTutakuja kufungika tu. Nina wasiwasi na Man Utd
Dua yako mbaya Mungu amaeipokea.Vijana wa Pep leo tunawaangalia tu wapinzani huku tukiomba dua mbaya kwao. Kazi tumeshaimaliza jana sisi
[emoji1] [emoji1]Dua yako mbaya Mungu amaeipokea.
Mungu hapendi matusi. Wangeshinda leo wangetukana sana...
Unywaji pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako, tafadhal kunywa kistaarabu [emoji12] [emoji12]Niko Castle lite bariiiiidi ya tano sasa kwa furaha kwa Manure kufungwa...Hasa Sanchez kutofunga Goli leo
Ustaarabu ni kunywa mapipa mangapi ya pombe?.Unywaji pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako, tafadhal kunywa kistaarabu [emoji12] [emoji12]
Mapipa yote uwezayo ila usizime ndio kistaatabuUstaarabu ni kunywa mapipa mangapi ya pombe?.
Kuzima ndio nini? Am taking kinywaji at my pleasure and responsiblyMapipa yote uwezayo ila usizime ndio kistaatabu
Unachokiongea ndicho nilichokuambia mkuu, Niliposema kunywa kistaarabu ndio namaanisha drink responsibly.... Enjoy itKuzima ndio nini? Am taking kinywaji at my pleasure and responsibly
Mkuu wameangukia pua.Vijana wa Pep leo tunawaangalia tu wapinzani huku tukiomba dua mbaya kwao. Kazi tumeshaimaliza jana sisi