The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hahahah!! Nikweli kabisa kiongozi wangu huko ni mbali sana kwakweli, kama ni race acha tumuwekee hao hao kina Pogba kwanza
Ninachompenda KDB mechi kubwa anafanya vizur sana ukiweza kuyatungua ma top 6 walau inatia moyo kwa kuwa ndo unaopambana nao ktk ubingwa ushawakata point vitumu vidogo mahesabu tu
 
Aguero angekuw anacheza team ambay inamtegemea yey peke yake nadhani angekuw na magoli zaidi. Pale alipo nitofauti na pale kwa kina Kane.
Fact mkuu pep hajaampa jukum hilo mara atokee bench wafungaj wapo wengi mnao ila kama mipira yote itue kwa kun aisee ingekuwa habar nyingine
 
Mkuu kayeke jana nimeminya koradan hadi zimepusuka walau mtoa sare tu nineishia kupata maumivu hongereni chuma 5 habar mbaya
Asante mkuu, mi nilipokuw nimekaa kuna mashapik wa Man Utd walisema et lazima nifungwe walipoona wamesawazisha. Nikawambia haw nawafunga zaidi ya ma 3. Walipoona bao la 3 nilibaki peke yangu. Lile bao walilotufunga. Ndo lilitusaidia kuwafunga mengi. Walijisahau sana baada yakusawazisha.
 
Asante mkuu, mi nilipokuw nimekaa kuna mashapik wa Man Utd walisema et lazima nifungwe walipoona wamesawazisha. Nikawambia haw nawafunga zaidi ya ma 3. Walipoona bao la 3 nilibaki peke yangu. Lile bao walilotufunga. Ndo lilitusaidia kuwafunga mezi. Walijisahau sana baada yakusawazisha.
City kumfunga etihad ni ngumu sana kwa sasa mkuu
 
Hatimae dua mbaya zimepokelewa huko side B, sasa kazi moja tu kuhakikisha kila mechi msuli unakazwa maana presha zimeshuka sasa gape limeongezeka
 
Back
Top Bottom