Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongeren wakuu.....MAN CITY mmenikosha kweli kweli
Wakuu, kwa heshima na taadhima nimekuja kuwapeni hongera kwa kuwaweka wazee wa fitna mahala pao! Hongereni sana!
Acha kukurupuka wewe... hebu angalia hii thread ipo jukwaa gani... !! jukwaa letu hili msituletee siasa & udini wenu ....Mods Do we need this crap here ? Jamani hivi hapa ni mahali pa michezo ? Si kila mtu ni mtumwa wa ligi za wazungu .Nyie mnasema wabaya leo mipira yao toka huko huko Nato inashangiliwa hapa hizi akili au? Au ndiyo yale yale ya waislam kupiga makelele kila siku juu ya ma West lakini wako wa kwanza allfajiri wanaomba Visa kwenda kwa ma West hao hao ?
Mods
Do we need this crap here ? Jamani hivi hapa ni mahali pa michezo ? Si kila mtu ni mtumwa wa ligi za wazungu .Nyie mnasema wabaya leo mipira yao toka huko huko Nato inashangiliwa hapa hizi akili au?
Au ndiyo yale yale ya waislam kupiga makelele kila siku juu ya ma West lakini wako wa kwanza allfajiri wanaomba Visa kwenda kwa ma West hao hao ?
mancheSITA kapigwa SITA?! SITAamini jameni duu!