The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kumbe yote yanawezekana chini ya jua. "Muosha huoshwa"Week end imeisha kwa shangwe..... Thanks to Baloteli ya colleagues!
 
yaani kama kuna timu nyingine itaweza kuleta furaha kama ya leo itakuwa safi saana
 
leo nina furaha mpaka sauti imekauka kwa kushangilia,kwanza chama Arsenal tumeshinda then yale maumiv ya 8-2 hatimaye leo yamenitoka, big up man city
bora sisi tulipigwa 8-2 tukiwa safarini.....wao thatha....
mbele ya wake zao, watoto zao... vimada zao.....
ila nimefurahi kuona kuwa rooney pamoja na
kuwa alikuwa bondia....sasa ni stricker....kumbe
pia ni beki wa kutegemewa....huenda akawa
oshea wao.....
 
Na bado atakuja kuwa mpaka kipa.... Hi ndio ligi ya england upepo huwa hauwez kuvuwa kwako tu
 
Mario%20on%20the%20ball.ashx

Balotelli%20goal.ashx
 
hiyo ndio hivyo hawa jamaa kwenye calring cup tumewagonga 5 sijui huku tutatoka ngapi ngapi..
 
Back
Top Bottom