The Manchester City (The Citizens) | Special Thread


Man utd hatafungwa na Chelsea. Sana labda droo.
 
Umetumia kigezo gani
Manchester City atachukua tena. Liverpool watatukaribia sana maana wapo vizuri pia wametumia mkwanja mrefu kusajili. Goalkeeper Alisson, Naby Keita, Fabinho na Xherdan Shaqiri. Timu ipo vizuri kuliko last season. Ile City nao kwa usajili wa Mahrez wapo vizuri pia wanatawala mpira na wataendelea kutawala mpira kwa miaka maana wana kocha mzuri.
Kwenye top 4. Mancity na Liverpool hakuna ubishi. Maana wanampira wa hali ya juu.
Chelsea wanapita maana wanapambana sana vikali sana wakina na mchezaji alieweza kufanya vema ktk kombe la dunia Eden Hazard.
Arsenal na Spur nao wanagombea nafasi. Arsenal wakiwa na Emerick Aubameyang wapo vizuri pia msimu huu.
 
Liverpool hamna kitu ndugu labda kama huifuatilii vizuri
Liverpool wana kipa tu basi wengine ni vimeo wote
 
Liverpool hamna kitu ndugu labda kama huifuatilii vizuri
Liverpool wana kipa tu basi wengine ni vimeo wote
Naifuatilia Mkuu. Wapo vizuri kuliko last season. Tuliwaacha kwa point 25 ila safari hii hatutawaacha sana. Ni Liverpool pekee ndie anaweza mkaribia City. Na ndo timu mbili zenye uhakika wa kufika top 4.
Chelsea nayo ipo vizuri pia Hazard ameonyesha kiwango kikubwa sana na ataivusha Chelsea na kuwa kwenye top 4. Spur na Arsenal tunawasikilizia. Ila Arsenal wanaonekana wapo vizuri pia.
Man U. Akipoteza mechi yake na Chelsea kesho basi atapotea kabisa top 4. Alianza ligi kwa kugombea kombe ila sasa hali imebadilika wanagombea kuingia top 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…