Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
True that mkuuHakuna. Mancity anachukua tena epl.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True that mkuuHakuna. Mancity anachukua tena epl.
City hapo juu hatoki tena. na utabiri wangu mpaka 31 dec top 4
1. Man City
2. Liverpool
3. Chelsea
4. Arsenal
Umetumia kigezo gani
Mkuda tu huyo anaijua epl mdomon si vitendoItakuwa ramli, wewe unadhani katumia vigezo gani?
Chelsea atamfunga paka kengele mkuuNani atamfunga paka kengele?
Sawa tutashuka hapo juu ila ligi itaisha tukiwa hapo juuManchester city mtashuka tu hapo juu
Swala la muda tuChelsea atamfunga paka kengele mkuu
Mkichukua ubingwa tena nakuwa shabiki wenuSawa tutashuka hapo juu ila ligi itaisha tukiwa hapo juu
Karibu chamani kabisaMkichukua ubingwa tena nakuwa shabiki wenu
Man United walivyoanza ligi mwaka huu walikuwa wanapambana kutwaa kumbe la epl. Sasa ivi wanagombea kuingia top 4. Wapo nyuma kwa point 7 kwa alie juu. Na wakifungwa na Chelsea wanaweza kuwa nyuma kwa point 10. Maana yake ubingwa kwao bye bye. Shida itakuwa kwa Mou.Chelsea atamfunga paka kengele mkuu
Man United walivyoanza ligi mwaka huu walikuwa wanapambana kutwaa kumbe la epl. Sasa ivi wanagombea kuingia top 4. Wapo nyuma kwa point 7 kwa alie juu. Na wakifungwa na Chelsea wanaweza kuwa nyuma kwa point 10. Maana yake ubingwa kwao bye bye. Shida itakuwa kwa Mou.
Timu pekee yenye nguvu ya kuizuia Mancity kipindi hiki ni Liverpool. Msimu uliopita waliachwa kwa point 25. Ila city wapo vizuri na watanyakua tena kombeManchester city mtashuka tu hapo juu
Manchester City atachukua tena. Liverpool watatukaribia sana maana wapo vizuri pia wametumia mkwanja mrefu kusajili. Goalkeeper Alisson, Naby Keita, Fabinho na Xherdan Shaqiri. Timu ipo vizuri kuliko last season. Ile City nao kwa usajili wa Mahrez wapo vizuri pia wanatawala mpira na wataendelea kutawala mpira kwa miaka maana wana kocha mzuri.Umetumia kigezo gani
Mou atapaki basi kuogopa kufungwa hapo darajani.Man utd hatafungwa na Chelsea. Sana labda droo.
We have the best manager Mkuu.Mkichukua ubingwa tena nakuwa shabiki wenu
Kivitendo vipi Mkuu wakati sisi ni mashabiki epl ni England Premier League na yeyote anaruhusiwa kuweka predictions zake. Wewe ukiweka Spur au Man U. Ni kulingana na wewe ulivyoona wewe na sio mm.Mkuda tu huyo anaijua epl mdomon si vitendo
Draw sioniMan utd hatafungwa na Chelsea. Sana labda droo.
Liverpool hamna kitu ndugu labda kama huifuatilii vizuriManchester City atachukua tena. Liverpool watatukaribia sana maana wapo vizuri pia wametumia mkwanja mrefu kusajili. Goalkeeper Alisson, Naby Keita, Fabinho na Xherdan Shaqiri. Timu ipo vizuri kuliko last season. Ile City nao kwa usajili wa Mahrez wapo vizuri pia wanatawala mpira na wataendelea kutawala mpira kwa miaka maana wana kocha mzuri.
Kwenye top 4. Mancity na Liverpool hakuna ubishi. Maana wanampira wa hali ya juu.
Chelsea wanapita maana wanapambana sana vikali sana wakina na mchezaji alieweza kufanya vema ktk kombe la dunia Eden Hazard.
Arsenal na Spur nao wanagombea nafasi. Arsenal wakiwa na Emerick Aubameyang wapo vizuri pia msimu huu.
Naifuatilia Mkuu. Wapo vizuri kuliko last season. Tuliwaacha kwa point 25 ila safari hii hatutawaacha sana. Ni Liverpool pekee ndie anaweza mkaribia City. Na ndo timu mbili zenye uhakika wa kufika top 4.Liverpool hamna kitu ndugu labda kama huifuatilii vizuri
Liverpool wana kipa tu basi wengine ni vimeo wote