The Manchester City (The Citizens) | Special Thread


😎
 
Uchambuzi ulikua mzuri Sana na ilikua Kama unatabiri kilichotokea
 
Imekuwaje sasa? Tatizo lenu mnaongea sana. Wasumbue sasa hao liverpool Arsenal na Chelsea. Sisi ni dawa ya midomo
 
Aisee hongereni kwa kuwapiga jirani zenu, ila punguzeni sifa, kwani 2-1 si ilikuwa inatosha?

Tunaomba siku mkikutana tena na Liverpool mwache tabia za kupaki bus.
 
Nyie mmedroo sisi kichapo tu. Kama utakumbuka mechi ya liver waliponea chupuchupu
Walikua wanazima moto kwa jirani wakati kwao kunaungua. Droo wameipata wao sasa tumezidisha gape...

Yaani walikua wanatuombea droo na hii man U imeshakua timu ya mchangani sasa hivi sibora tudroo na new Castle kuliko hawa Red Divas
 
Imekuwaje sasa? Tatizo lenu mnaongea sana. Wasumbue sasa hao liverpool Arsenal na Chelsea. Sisi ni dawa ya midomo
Kwani nilichoandika hapo kumeathiriwaje na matokeo?
Au kuna uongo niliosema hapo? Kwamba hata Citizens wakitufunga hamna mshabiki wake wa kutusumbua humu maana wengi mmehamia juzi kutoka arsenal na timu nyingine? Kwamba mmeanza kuipenda citizen juzi kipindi cha Robinho?


Au nilisema MUFC itaifunga Citizen hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…