The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hiyo mechi ni ngumu mkubwa, sijui nani anashinda au matokeo yanakuaje

Ila nikitumia common sense yangu Man Utd bado sana, Guardiola anashinda sababu timu hata ipaki bus no ngumu kumsumbua. Quality na form ipo kwa Man City, huku kwao Quality na form bado sana. Man city magoli yanafungwa kimpango na sio kubahatisha, watu kama Bernado, Aguero bado ni matumaini makubwa sana ya Guardiola na Man city, Sterling akitulia na kutumia nafasi vizuri ushindi upo

😎
 
Uchambuzi ulikua mzuri Sana na ilikua Kama unatabiri kilichotokea
 
Mnatuchokozaga wenyewe!
Utaona leo nusu saa kabla ya mchezo mtakavyojaa kwenye thread yetu kufanya fujo!

Halafu nyie washabiki wa Citizen mko wachache sana na wengi ni wale mliohama timu zenu za awali,kama sivyo basi ni wale mmeipenda kuanzia 2009-2010. Kwahiyo hata tukimchabanga Citizen wakuwasumbua ni Liverpool, Arsenal na Chelsea.
Imekuwaje sasa? Tatizo lenu mnaongea sana. Wasumbue sasa hao liverpool Arsenal na Chelsea. Sisi ni dawa ya midomo
 
Aisee hongereni kwa kuwapiga jirani zenu, ila punguzeni sifa, kwani 2-1 si ilikuwa inatosha?

Tunaomba siku mkikutana tena na Liverpool mwache tabia za kupaki bus.
 
Nyie mmedroo sisi kichapo tu. Kama utakumbuka mechi ya liver waliponea chupuchupu
Walikua wanazima moto kwa jirani wakati kwao kunaungua. Droo wameipata wao sasa tumezidisha gape...

Yaani walikua wanatuombea droo na hii man U imeshakua timu ya mchangani sasa hivi sibora tudroo na new Castle kuliko hawa Red Divas
 
Imekuwaje sasa? Tatizo lenu mnaongea sana. Wasumbue sasa hao liverpool Arsenal na Chelsea. Sisi ni dawa ya midomo
Kwani nilichoandika hapo kumeathiriwaje na matokeo?
Au kuna uongo niliosema hapo? Kwamba hata Citizens wakitufunga hamna mshabiki wake wa kutusumbua humu maana wengi mmehamia juzi kutoka arsenal na timu nyingine? Kwamba mmeanza kuipenda citizen juzi kipindi cha Robinho?

Au nilisema MUFC itaifunga Citizen hapo?
 
Back
Top Bottom