The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

ila msimu huu amku tukamia sana kama msimu ulio pita saivi tunamchezaj anacheza mfumo kama wenu bernado silva

Hatuna OX Chamberlain, ndo alikuwa mkimbizaji mkuu, anaunganisha beki na fowadi.

Mechi ilichezwa katikati sana na mashambulizi machache machache, threatening attacks zilikuwa chache mno.

Nadhani ilikuwa ni game pekee hizo timu zimetoka goalless kwenye EPL mpaka sasa.
 
Ahahahaha we jamaa vp kwani hujaangalia hata on target na off target Man city walikua wanaongoza afu unasema walipaki basi

Hahaha, niliona hadi Clipp za Pep anawashauri wasipande kabisa, wahakikishe Salah na Mane wanakabwa hata kwa kutumia watu watatu watatu.

Mliharibu game kabisa, yaani hadi mkapata penati nayo mkapiga nje kisa droo inawatosha.
 
Na wengine wanahama kutoka team mbovu MAN UTD. Mbona unaogopa kusema?
 
Na wengine wanahama kutoka team mbovu MAN UTD. Mbona unaogopa kusema?
Wanatuita wahamiaji wakati time zote zipo vizuri sasa hivi kwanini tusingerudi tulipotoka sasa?

Liverpool wapo Moto, Chelsea vile vile hao Arsenal msamiati wa kufungwa wamesahau maana yake. Gari bovu ni man U labda tumetoka huko[emoji16][emoji16]

Sisi tupo tu miaka yote tunawapokea wahamiaji haramu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…