mwisho2016
JF-Expert Member
- Jun 27, 2016
- 724
- 625
Mlikuwa juu kwakuwa tulikuwa na kiwango kibovu na sasa tuko bora kuliko wote epl. Kiwango chenu kikikuwa na kutuzidi basi mtakuwa juu. We have the best coach, best squad, kwann tusiwe bora.Ha
Hata Manu tulikuwa juu, tulishuka tu. Wazungu wanasema, it's a matter of time
Hatufungwi mkuu ndio maanaJukwaa limedorola
Hatufungwi mkuu ndio maana
Mkuu EPL tulishaanza kuitawala ata kabla Pep hajakujaHahaha mnasubiri, pep awaache kwenye mataa. Ngoja awape makombe then mtaona