The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ha
Hata Manu tulikuwa juu, tulishuka tu. Wazungu wanasema, it's a matter of time
Mlikuwa juu kwakuwa tulikuwa na kiwango kibovu na sasa tuko bora kuliko wote epl. Kiwango chenu kikikuwa na kutuzidi basi mtakuwa juu. We have the best coach, best squad, kwann tusiwe bora.
 
_104472718_sane.jpg
 
Back
Top Bottom