CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,634
- 1,001
Team haina presha hii itakosa mashabiki? Hao nyumbu united ni nani.? Wapi premier kweli.?Hivi man city kumbe nayo inamashabiki?
Naona uzi mzima wanachangia member wawili tu.
Bila shaka nyie ni wahamiaji haramu kutoka Liverpool, Arsenal, na nyumbu united.
Hakumaanisha kwamba anawasifia bali alikuwa anaponda man city. Kwa kitimu kidogo kuwa droo mpaka mda ule. Jaribu kusoma wapondaji huku.huwa wanakuja na lugha usiyoweza kuelewa ila nia ni kuponda tu.Jamaa sijui ni shabiki wa timu gani maana kanishangaza kuwaita Watford wanaume π
Huyo Benadi ni mzuri pia japo KDB ni zaidi. Na benadi akiumia anakaa mahrez. Ila mahrez pass zake sio accurate kama KDB. All in all pep ana bahati ya kupendwa na wachezaji. Angeenda hapo Man U. Timu ingekuwa vizuri sana.Napenda jinsi Pep anakifanyia kikosi mzunguko, pengo la KDB halionekani kabisa
Anaimarisha kikosi mkuu. Tarehe 8. Yupo na chelsea. Kumbuka kesho chelsea yupo na na mbishimbishi. Kesho chelsea anagawana point.0-0 mpaka sasa mancity mtanyooka leo hao ndo wanaume wa shoka watford
Tumeponea chupuchupu. Hizindakika 10 na zanyongeza kidogo tungepokonywa point. Tulitawala vuzuri sana dakika 80 za mwanzo ila jamaa hawakukata tamaa na wakawa wanakuja kama nyuki. City walichanganyikiwa ila mwisho amefanikiwa kuwa juu ya liverpool kwa point 5. Hongereni City.
Man City hii hii iliyosumbuka kwa Lyon!!?hata kwa club bora kidunia, bado Man City imastahili hiyo nafasi then ndio Barca wanafuata
Timu inaimarika haiporomoki boss. Niambie mechi alizocheza wapi amefungwa au kaponea chupuchupu kufungwa. Jana ndio mara ya kwanza hali kuwa mbaya dakika za mwisho. Mpaka kipa anapewa kadi kwa kuchekewesha mpira. Ila jumamisi watakuwa full kikosi. Chelsea analala hata wewe unajua.Mmebahatisha unajua team yenu inazid kuporomoka kiwango though mnashinda. Kwa mpira huu jmos mkikutana na chelsea mtauliwa
πππMmebahatisha unajua team yenu inazid kuporomoka kiwango though mnashinda. Kwa mpira huu jmos mkikutana na chelsea mtauliwa
Usikariri maisha broHivi man city kumbe nayo inamashabiki?
Naona uzi mzima wanachangia member wawili tu.
Bila shaka nyie ni wahamiaji haramu kutoka Liverpool, Arsenal, na nyumbu united.
Anashangaza sana alafu anaonekana ana kungu la ujinga kichwaniJamaa sijui ni shabiki wa timu gani maana kanishangaza kuwaita Watford wanaume [emoji23]
Anafanya rotation nzuri sanaNapenda jinsi Pep anakifanyia kikosi mzunguko, pengo la KDB halionekani kabisa
Pole sana sisi ndyo THE CITIZENSMmebahatisha unajua team yenu inazid kuporomoka kiwango though mnashinda. Kwa mpira huu jmos mkikutana na chelsea mtauliwa
Anajuw sababuJamaa sijui ni shabiki wa timu gani maana kanishangaza kuwaita Watford wanaume [emoji23]
Hakika hii itamsaidia pia itafanya wachezaji wote wajione ni sawa, sio watu unawasugulisha bench mpaka wanaanza kujenga chukiAnafanya rotation nzuri sana
ππππPole sana sisi ndyo THE CITIZENS
Kweli atakua na sababu zake za kuwaita wanaume ila sisi ndio tumeshachukua points zetu3 kwa huyo mwanaumeAnajuw sababu
Hahahaha. Watakuw wameshamzalilisha mbere ya watoto wakeKweli atakua na sababu zake za kuwaita wanaume ila sisi ndio tumeshachukua points zetu3 kwa huyo mwanaume