The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hivi man city kumbe nayo inamashabiki?
Naona uzi mzima wanachangia member wawili tu.
Bila shaka nyie ni wahamiaji haramu kutoka Liverpool, Arsenal, na nyumbu united.
Team haina presha hii itakosa mashabiki? Hao nyumbu united ni nani.? Wapi premier kweli.?
 
Jamaa sijui ni shabiki wa timu gani maana kanishangaza kuwaita Watford wanaume 😂
Hakumaanisha kwamba anawasifia bali alikuwa anaponda man city. Kwa kitimu kidogo kuwa droo mpaka mda ule. Jaribu kusoma wapondaji huku.huwa wanakuja na lugha usiyoweza kuelewa ila nia ni kuponda tu.
 
Napenda jinsi Pep anakifanyia kikosi mzunguko, pengo la KDB halionekani kabisa
Huyo Benadi ni mzuri pia japo KDB ni zaidi. Na benadi akiumia anakaa mahrez. Ila mahrez pass zake sio accurate kama KDB. All in all pep ana bahati ya kupendwa na wachezaji. Angeenda hapo Man U. Timu ingekuwa vizuri sana.
 
Tumeponea chupuchupu. Hizindakika 10 na zanyongeza kidogo tungepokonywa point. Tulitawala vuzuri sana dakika 80 za mwanzo ila jamaa hawakukata tamaa na wakawa wanakuja kama nyuki. City walichanganyikiwa ila mwisho amefanikiwa kuwa juu ya liverpool kwa point 5. Hongereni City.
 
Mmebahatisha unajua team yenu inazid kuporomoka kiwango though mnashinda. Kwa mpira huu jmos mkikutana na chelsea mtauliwa
 
Mmebahatisha unajua team yenu inazid kuporomoka kiwango though mnashinda. Kwa mpira huu jmos mkikutana na chelsea mtauliwa
Timu inaimarika haiporomoki boss. Niambie mechi alizocheza wapi amefungwa au kaponea chupuchupu kufungwa. Jana ndio mara ya kwanza hali kuwa mbaya dakika za mwisho. Mpaka kipa anapewa kadi kwa kuchekewesha mpira. Ila jumamisi watakuwa full kikosi. Chelsea analala hata wewe unajua.
 
Hivi man city kumbe nayo inamashabiki?
Naona uzi mzima wanachangia member wawili tu.
Bila shaka nyie ni wahamiaji haramu kutoka Liverpool, Arsenal, na nyumbu united.
Usikariri maisha bro
 
Manchester United 1st 11

De gea

[emoji243] [emoji243] [emoji243] [emoji243]

[emoji243] [emoji243] Pogba

Martial [emoji208] [emoji243]
 
Back
Top Bottom