Prediction ya mechi kati ya man city na everton ni ngumu sana.Just as what I expected, hongereni jamaa.
Hahaha ni kweli kabisa mkuu..mashabiki wengi wa Man city walikuwaga Liverpool.Haha hahaaa...ukweli mtupu, ama kweli Jamii Forum haijawahi kuniacha mpweke nijapopitia comments za Watu mbali mbali
Prediction ya mechi kati ya man city na everton ni ngumu sana.
Ila last season mechi ya kwanza droo na ya pili tuluwapiga 3 - 1. Na leo tumewapa 3. Inategemea na wachezaji wa kipindii cha zamani. Toka 2015 katupiga mara moja tu. Ila wapo vizuri sana. Liverpool alichomoa dakika ya 96.Sidhani, labda kwenu washabiki wa Man City. Ila kiuhalisia Man City si timu ya kusumbuliwa na Everton.
Kitu nilichonote kwa Man City inabidi mpinzani uwe na defensive scheme ya hatari sana kuzuia wings zisicheze, hasa kipindi ambacho KDB hachezi au hayuko fit, maana huyu ni rahisi kutoboa kutoka katikati.
Ligi kwa sehemu kubwa bado ni ya Man City kupoteza, siyo mara nyingi tutaona matokeo kama yale kwa Chelsea...
Utaishia kusema hivyo wakati wenzako wanafurahia ubingwa. Mtu kuwa shabiki hapangiwi.Hahaha ni kweli kabisa mkuu..mashabiki wengi wa Man city walikuwaga Liverpool.
Ila last season mechi ya kwanza droo na ya pili tuluwapiga 3 - 1. Na leo tumewapa 3. Inategemea na wachezaji wa kipindii cha zamani. Toka 2015 katupiga mara moja tu. Ila wapo vizuri sana. Liverpool alichomoa dakika ya 96.
Asante sanaJust as what I expected, hongereni jamaa.
Asante sana
NyumbaniAisee leo mko upande wa majirani zenu au kwetu?
Hawabebeki tumewashabikia lakini hawabebekiAisee leo mko upande wa majirani zenu au kwetu?
Hawabebeki tumewashabikia lakini hawabebeki
acha majungu mtoto wa kiume.Hahaha ni kweli kabisa mkuu..mashabiki wengi wa Man city walikuwaga Liverpool.
Watu wanaetuita wahamiaji, ni watu wenye wivu na wenye majungu.
Naomba waache mara moja kutuita wahamiaji.Ushabiki ni maamuzi ya mtu, na kila mmoja ana sababu zake za kuwa mshabiki wa timu Fulani.
Hao hao Chelsea before 2004/05 wengi tulikuwa nao Liverpool, Mourinho alivyochukua timu ndo wakahama.