The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Prediction ya mechi kati ya man city na everton ni ngumu sana.

Sidhani, labda kwenu washabiki wa Man City. Ila kiuhalisia Man City si timu ya kusumbuliwa na Everton.

Kitu nilichonote kwa Man City inabidi mpinzani uwe na defensive scheme ya hatari sana kuzuia wings zisicheze, hasa kipindi ambacho KDB hachezi au hayuko fit, maana huyu ni rahisi kutoboa kutoka katikati.

Ligi kwa sehemu kubwa bado ni ya Man City kupoteza, siyo mara nyingi tutaona matokeo kama yale kwa Chelsea...
 
Ila last season mechi ya kwanza droo na ya pili tuluwapiga 3 - 1. Na leo tumewapa 3. Inategemea na wachezaji wa kipindii cha zamani. Toka 2015 katupiga mara moja tu. Ila wapo vizuri sana. Liverpool alichomoa dakika ya 96.
 
Liverpool ile ni Derby, wanakomaa sana lazima. Ila kwa timu zingine utashangaa wanafungwa easy tu.
 
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya England Manchester City wamepangiwa kucheza na klabu ya Schalke ya Ujerumani katika hatua ya 16 bora Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya baada ya droo kufanywa.

Droo kamili:

Manchester United v PSG

Schalke v Manchester City

Atletico Madrid v Juventus

Tottenham v Borussia Dortmund

Lyon v Barcelona

Roma v Porto

Ajax v Real Madrid

Liverpool v Bayern Munich

Mechi za kwanza zitachezwa 12-13 na 19-20 Februari, na mechi za marudiano 5-6 na 12-13 Machi, 2019.
 
Watu wanaetuita wahamiaji, ni watu wenye wivu na wenye majungu.

Ushabiki ni maamuzi ya mtu, na kila mmoja ana sababu zake za kuwa mshabiki wa timu Fulani.

Hao hao Chelsea before 2004/05 wengi tulikuwa nao Liverpool, Mourinho alivyochukua timu ndo wakahama.
 
Back
Top Bottom