Borntkkasu
Member
- Feb 22, 2019
- 68
- 51
Naamini hakuna anayetaka kukutana na Liverpool UEFA, maana Pep kawaombea ushindi Bayern imeshindikana.
Usiyempenda kaja.
sidhani kama uyasemayo yatoka katika kichwa chako.Pengine nikukumbushe miaka iliyopita 5-0
lakini mwaka huu haziwezi kuwa 5 lazma ziongezwe
Hahah asante sana......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatimaye umeibuka. Hongera sana
HehehBreak news! Shalke 04 Switched the name now called Shalke 07 [emoji12][emoji12][emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipenzi cha kocha huyo dogo anajua sana
Tukiweka pembeni ushabiki na mapenzi hii kauli yako inaukweli ndani yake, Liver kwenye UEFA wana vibe la hatari mimi mwenyewe sitamani kukutananaoNaamini hakuna anayetaka kukutana na Liverpool UEFA, maana Pep kawaombea ushindi Bayern imeshindikana.
Usiyempenda kaja.
Tukiweka pembeni ushabiki na mapenzi hii kauli yako inaukweli ndani yake, Liver kwenye UEFA wana vibe la hatari mimi mwenyewe sitamani kukutananao
Unazungumzia UEFA?
Tunaongelea ya mwaka huu, umenipa point 4Tulia kijana mwaka Jana tumekupiga nje ndani,mwaka huu tulikupa Tatu mzuka hapo hapo Emirates .ushindi mmoja unakupa jeuri gani ya kuingea hivyo !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Liver waliingia kwa kuwaheshimu sana Bayern kama uliona walianza kwa kujilinda zaidi ila kadiri muda ulizidi kwenda wakawa wanawazoea na kuwaona wakawaida na wao kuanza kuucheza sasa.....Game ya jana second half ilinishangaza sana, mpaka nikapata confidence ya kwamba tunaweza kupambana na timu yoyote kama tukiwa na same vibe.
Ingawa kwa ubora wa vikosi Man City na Barca sitaki kukutana nao mapema, bora iwe final ambapo ni one game and the winner takes it all.
😀😀
Liver waliingia kwa kuwaheshimu sana Bayern kama uliona walianza kwa kujilinda zaidi ila kadiri muda ulizidi kwenda wakawa wanawazoea na kuwaona wakawaida na wao kuanza kuucheza sasa.....
Toka game ya kwanza pale Anfield Bayern sikuelewa wanacheza nini na nini malengo yao maana walikua wakipiga pass tu kwenye zone yao bila kufanya mashambuliza ya maana na game ya jana wakafanya vile vile...
Wacha wakomae na domestic cups sisi tunasubiri nani akutane na naniGame plan ya Anfield walikuwa wanatafuta 0 - 0, maana walikuwa wanachelewesha sana kama vile wameshafunga.
Jana wameianza mechi kwa kutafuta magoli, bahati mbaya Liver akatangulia, zile dakika baada ya kufungwa walikimbiza sana.
Thanks kwamba kipindi cha pili tuliwazidia.
unacho maanisha ni kwamba Liverpool wakiwa UEFA wanacheza 22 ama?
Wacha wakomae na domestic cups sisi tunasubiri nani akutane na nani
Hahah asante sana......
Missing you aisee
Hivi ni kwanini watu mmefurahi timu za EPL kufuzu hatua ya robo badala ya kufurahi timu unayoishabikia peke yake kufuzu?Sure, nimependa EPL timu zimekomaa UEFA sasa hivi.
Utaona watakavyo pukutika kama kuku wa Mdondo hatua inayofata, watabaki wanaostahili tu wale wazamiaji nadhani unawajua 😀..Mmmh EPL imehamia UCL
Miss u too
Utaona watakavyo pukutika kama kuku wa Mdondo hatua inayofata, watabaki wanaostahili tu wale wazamiaji nadhani unawajua 😀..
ASANTE
Hivi ni kwanini watu mmefurahi timu za EPL kufuzu hatua ya robo badala ya kufurahi timu unayoishabikia peke yake kufuzu?