Borntkkasu
Member
- Feb 22, 2019
- 68
- 51
Naamini hakuna anayetaka kukutana na Liverpool UEFA, maana Pep kawaombea ushindi Bayern imeshindikana.
Usiyempenda kaja.
sidhani kama uyasemayo yatoka katika kichwa chako.Pengine nikukumbushe miaka iliyopita 5-0
lakini mwaka huu haziwezi kuwa 5 lazma ziongezwe