Daah safi sana mkuu..... Sababu zako nimezielewa sana kumbe ukiacha mapenzi ya timu pia kuna mapenzi ya Ligi. Me nahisi La liga ndio imeniteka zaidiMimi upande wangu ni kwa sababu ni ligi ambayo nimeiangalia muda mrefu, kwa hiyo najikuta nina mapenzi na EPL automatic. Nadhani pia kwa sababu wanaifanyia promo sana.
So timu zikionesha ushindani katika floor za UEFA nakuwa nafurahi.
Hahah mimi sijataja timu yeyote lakiniWeuwe hebu waache Man u na CR7[emoji2][emoji2]
Daah safi sana mkuu..... Sababu zako nimezielewa sana kumbe ukiacha mapenzi ya timu pia kuna mapenzi ya Ligi. Me nahisi La liga ndio imeniteka zaidi
Daah safi sana mkuu..... Sababu zako nimezielewa sana kumbe ukiacha mapenzi ya timu pia kuna mapenzi ya Ligi. Me nahisi La liga ndio imeniteka zaidi
Na wewe nimekutoa FA .na mwaka huu utatoka kapa ...maana kikombe chako cha kahawa nishakutoa
Hamna lolote nyinyi.Naamini hakuna anayetaka kukutana na Liverpool UEFA, maana Pep kawaombea ushindi Bayern imeshindikana.
Usiyempenda kaja.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ni kwelisidhani kama uyasemayo yatoka katika kichwa chako.Pengine nikukumbushe miaka iliyopita 5-0
lakini mwaka huu haziwezi kuwa 5 lazma ziongezwe
Hamna lolote nyinyi.
Yule alisema vile kwasabab aliwafundisha wale
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaifananisha bayern na mancLiver waliingia kwa kuwaheshimu sana Bayern kama uliona walianza kwa kujilinda zaidi ila kadiri muda ulizidi kwenda wakawa wanawazoea na kuwaona wakawaida na wao kuanza kuucheza sasa.....
Toka game ya kwanza pale Anfield Bayern sikuelewa wanacheza nini na nini malengo yao maana walikua wakipiga pass tu kwenye zone yao bila kufanya mashambuliza ya maana na game ya jana wakafanya vile vile...
Hahah ni kweli kule ushindani upo chini ila kinachonivutia kule ni aina ya mpira wanaocheza, jamaa wanacha mpira burudani sana ukiangalia unaenjoytatzo la la liga ni ushindani upo chini sana nishawahi angalia mechi kati ya getafe vs eibar mkuuu kwanza washabiki wachache afu mpira umepoa sana utazani mwadui vs lipuli but epl hata iwe west ham vs burney mambo ni moto
Hahahah nyie jamaa bhanaNa wewe nimekutoa FA .na mwaka huu utatoka kapa ...maana kikombe chako cha kahawa nishakutoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Amna ligi paletatzo la la liga ni ushindani upo chini sana nishawahi angalia mechi kati ya getafe vs eibar mkuuu kwanza washabiki wachache afu mpira umepoa sana utazani mwadui vs lipuli but epl hata iwe west ham vs burney mambo ni moto
Mm kwangu napenda tough gameHahah ni kweli kule ushindani upo chini ila kinachonivutia kule ni aina ya mpira wanaocheza, jamaa wanacha mpira burudani sana ukiangalia unaenjoy
Hapana sizifananishi na ata nikizifananisha sioni kama zinafanana, kwa jinsi walivocheza na Liver nilitamani tungepewa wao badala ya Shakher 04
Unapenda uvunjaji wa kuni sio?
[emoji1] [emoji1] sii elewi na varUnapenda uvunjaji wa kuni sio?
Hahah ni kweli kule ushindani upo chini ila kinachonivutia kule ni aina ya mpira wanaocheza, jamaa wanacha mpira burudani sana ukiangalia unaenjoy