Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Daah safi sana mkuu..... Sababu zako nimezielewa sana kumbe ukiacha mapenzi ya timu pia kuna mapenzi ya Ligi. Me nahisi La liga ndio imeniteka zaidiMimi upande wangu ni kwa sababu ni ligi ambayo nimeiangalia muda mrefu, kwa hiyo najikuta nina mapenzi na EPL automatic. Nadhani pia kwa sababu wanaifanyia promo sana.
So timu zikionesha ushindani katika floor za UEFA nakuwa nafurahi.