The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Yah.
Ila jamaa hakuonekana kabisa kuwa na hofu sijui anasiri gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaiona next week hiyo hofu, ifike dakika ya 66 bado 0 - 0.
Alie tuangusha ni Delph, wakati Son anamtoka akamuacha na akadhani mpira umetoka. Hakuwa na uhakika ila alikuwa na uwezo wa kupambana na Son. VAR ikamuumbua.
Mechi ya mwisho kucheza tulifungwa na Leicester yeye akiishia kula Red Card. Yeye ndie alliechangia sisi kufungwa hiyo mechi.
Lakini hali bado tete kwetu. Maana Benjamin Mendy ni majeruhi.
Aleks Zinchenko nae hayupo fit. labda nextweek.
Kukosekana kwa Bernardo Silva , katika mechi yetu na Spur nako kulituangusha. Bernardo Silva aliumia mazoezini siku moja kabla ya mechi. ila ni jeraha dogo nafikiri atakuwepo next week. Je swali linakuja kwanini Riyad Mahrez alianzishwa badala ya Leroy Sane ? kiufupi ni kwamba Team haikuwa first 11 tuliyoijua na kuitegemea.
Tusubiri nextweek tuone First Eleven yetu.
 
Yeah.
Haikuwa kabisa first 11

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiangalia ulipo upana wa kikosi cha Tot... binafsi naukoswa team ka Man city siyakuwazia kutolewa kirahisi hivyo tena kwa tofauti ya gori 1.Hivi kwanza naona ka siku zinachelewa vile vimidomo vinataka kuzidi jinini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UEFA Champions League anauhakika wa kuvuka hilo wala halina mjadala kwake, so anacho kiwaza yeye ni Epl na kikwazo cha C.palace akikumbuka last Dec, 22 walitugonga 3:2 Etihad sasa kesho tupo kwao na hiyo mechi ni mhimu sana tu win ili kujihakikishia kutwaa ubingwa hivyo lazima imwangishe kichwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure
Ila wakat ule majeruhi walikuwa wakutosha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…