goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikweli Mkuu siku hizi tumekua wengi sasa ata uzi wetu unapata uchangamfu sasa na hali ikiendelea hivi siku zote itapendeza sana...
Kwema mkuu vp za kwako?
Hahah! kwa upinzani tulionao sasa hivi mmoja kati yetu akisema anamuombea mema mwenzie atakua ni mnafki ndio maana nipo napiga maombi kuitakia ushindi Chelsea hapo keshoNiko poa, sasa hivi kazi yangu imekuwa kukuombea mabaya.
Hivi kesho niko Crystal Palace
Game ya liverpool inaweza kuwa nyepesi sana.
Mm huwa siwaamini kabisa chelsea
Sent using Jamii Forums mobile app
Mandy tayari yupo fit?Tommorrow first 11
Ederson
Walker stones laporte mendy
Bernardo gundogan debruyne
Mahrez. Jesus. Sane
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah! kwa upinzani tulionao sasa hivi mmoja kati yetu akisema anamuombea mema mwenzie atakua ni mnafki ndio maana nipo napiga maombi kuitakia ushindi Chelsea hapo kesho
JamaniChelsea fan lkn kesho Mungu aliyewaumba akipenda natamani sana tufungwe tu maana silipendi li Pep hata kidogo tokana na ubaguzi wake wa rangi nyeusi hasa Africans ili Liverpool wachukue tu ubingwa wa EPL
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea atoe ata sare.Hahah! kwa upinzani tulionao sasa hivi mmoja kati yetu akisema anamuombea mema mwenzie atakua ni mnafki ndio maana nipo napiga maombi kuitakia ushindi Chelsea hapo kesho
Hahahaha mkuu mbona yupo sterlinh,mendy,ndinho,delph, na sane kwa mbaliChelsea fan lkn kesho Mungu aliyewaumba akipenda natamani sana tufungwe tu maana silipendi li Pep hata kidogo tokana na ubaguzi wake wa rangi nyeusi hasa Africans ili Liverpool wachukue tu ubingwa wa EPL
Sent using Jamii Forums mobile app
Libaguzi sana Pep, lilimbaguaga Samweli Eto'o, Yaya Toure, ndiyo bado nizidi kujipendekeza kwake[emoji848][emoji57]Jamani
Yeah.Yaani mwaka huu, ubingwa ni patashika, top 4 ni patashika pia.
Halafu kuna game nyingi ambazo zinainvolve wanaotafuta top 4 na ubingwa.
Shida kwake ni Waafrika lkn ngozi yoyote nyeusi inayotokea nnje ya bara la Africa wala haangaikagi nayo kabisa kuibagua.Hahahaha mkuu mbona yupo sterlinh,mendy,ndinho,delph, na sane kwa mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Toure alikutana na segio ikawa mtihan kwake pale barcaLibaguzi sana Pep, lilimbaguaga Samweli Eto'o, Yaya Toure, ndiyo bado nizidi kujipendekeza kwake[emoji848][emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ata asipokuwepo kesho mm namkubali san zinchenko.Mandy tayari yupo fit?
Yeah.
Yan mm mpaka sasa sielewi, ndomana nataka tushinde game zote tu
Sent using Jamii Forums mobile app