The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Chelsea fan lkn kesho Mungu aliyewaumba akipenda natamani sana tufungwe tu maana silipendi li Pep hata kidogo tokana na ubaguzi wake wa rangi nyeusi hasa Africans ili Liverpool wachukue tu ubingwa wa EPL
Game ya liverpool inaweza kuwa nyepesi sana.
Mm huwa siwaamini kabisa chelsea

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah! kwa upinzani tulionao sasa hivi mmoja kati yetu akisema anamuombea mema mwenzie atakua ni mnafki ndio maana nipo napiga maombi kuitakia ushindi Chelsea hapo kesho

Yaani mwaka huu, ubingwa ni patashika, top 4 ni patashika pia.

Halafu kuna game nyingi ambazo zinainvolve wanaotafuta top 4 na ubingwa.
 
Back
Top Bottom