Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Afadhali Msimu huu nachukua ndoo kwa upinzani mkali tofauti na msimu jana eti 100 points na kidogo tu niwe unbeaten....Yaani mwaka huu, ubingwa ni patashika, top 4 ni patashika pia.
Halafu kuna game nyingi ambazo zinainvolve wanaotafuta top 4 na ubingwa.
Nakumbuka kuna msimu Chelsea walinipa ndoo pale Gerrard anaanguka watu wanapiga kamba City anainua kwapa, sasa Mkuu tegemea tena jambo hiyo kesho