The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Yaani mwaka huu, ubingwa ni patashika, top 4 ni patashika pia.

Halafu kuna game nyingi ambazo zinainvolve wanaotafuta top 4 na ubingwa.
Afadhali Msimu huu nachukua ndoo kwa upinzani mkali tofauti na msimu jana eti 100 points na kidogo tu niwe unbeaten....

Nakumbuka kuna msimu Chelsea walinipa ndoo pale Gerrard anaanguka watu wanapiga kamba City anainua kwapa, sasa Mkuu tegemea tena jambo hiyo kesho
 
Naona wewe huyajui vizuri mahispania kwa ubaguzi wa rangi nyeusi, hujiulizi hata kwanini timu yao ya Taifa haina hata chembe chembe za ngozi nyeusi m1, unadhani hakuna raia weusi wenye vipaji hadi wewe weupe tupu[emoji848]
Toure alikutana na segio ikawa mtihan kwake pale barca

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali Msimu huu nachukua ndoo kwa upinzani mkali tofauti na msimu jana eti 100 points na kidogo tu niwe unbeaten....

Nakumbuka kuna msimu Chelsea walinipa ndoo pale Gerrard anaanguka watu wanapiga kamba City anainua kwapa, sasa Mkuu tegemea tena jambo hiyo kesho

Kesho tunasubiri Crystal Palace kwanza, mkishinda pressure itakuwa kubwa sana hiyo game.

Ila mkidroo tunashinda mapema sana.
 
Kwa kocha kilaza kama yule hata nikiikosa siwezi kamwe kujutia, hv kweli Carabao tumeenda dkk 120 na Man City bila ya hata kupata shot on target 1 langoni mwa Man City afu niendelee kujipa presha ya kukosa top 4 [emoji848]
Ila mkuu big 4 ni ya umuhim sana kwako kuliko kumchukia pep

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali Msimu huu nachukua ndoo kwa upinzani mkali tofauti na msimu jana eti 100 points na kidogo tu niwe unbeaten....

Nakumbuka kuna msimu Chelsea walinipa ndoo pale Gerrard anaanguka watu wanapiga kamba City anainua kwapa, sasa Mkuu tegemea tena jambo hiyo kesho
tapatalk_1555182500635.jpeg

Unamaanisha hii[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom