goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah.Tulicheza vuzuri na ku possess mpira, ila haikusaidia. Uzembe wa kipa na delph ukatuponza kuwa nyuma kwa goli moja, ila bado kuna dakika zingine 90 hatujacheza.hizi dakika wao wanataka kutokupoteza na sio kutafuta goli. Wakati sisi tunakuwa tunataka kushinda. Ila game ya kwanza niuzembe watu.
Leroy Sane na Kevin De Bruyne unawaweka dakika ya 89. Ili wafanye nn? Labda kama aliwaacha kwaajili ya kuwa fit kwenye mechi ya Crystal Palace. Hawa wachezaji walitakiwa kuingia dakika ya 75, kipindi ambacho spurs ndo walikuwa wanapambana.
Yah.
Ila jamaa hakuonekana kabisa kuwa na hofu sijui anasiri gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eeeeh, ukifuatilia sana utagundua kuwa hakuwa na haja ya kuweka full kikosi akitegemea tu watoke sare.Yah.
Ila jamaa hakuonekana kabisa kuwa na hofu sijui anasiri gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Alie tuangusha ni Delph, wakati Son anamtoka akamuacha na akadhani mpira umetoka. Hakuwa na uhakika ila alikuwa na uwezo wa kupambana na Son. VAR ikamuumbua.Mtaiona next week hiyo hofu, ifike dakika ya 66 bado 0 - 0.
Hehehe mkuu sisi uefa yetu mwaka huuMtaiona next week hiyo hofu, ifike dakika ya 66 bado 0 - 0.
Yeah.Alie tuangusha ni Delph, wakati Son anamtoka akamuacha na akadhani mpira umetoka. Hakuwa na uhakika ila alikuwa na uwezo wa kupambana na Son. VAR ikamuumbua.
Mechi ya mwisho kucheza tulifungwa na Leicester yeye akiishia kula Red Card. Yeye ndie alliechangia sisi kufungwa hiyo mechi.
Lakini hali bado tete kwetu. Maana Benjamin Mendy ni majeruhi.
Aleks Zinchenko nae hayupo fit. labda nextweek.
Kukosekana kwa Bernardo Silva , katika mechi yetu na Spur nako kulituangusha. Bernardo Silva aliumia mazoezini siku moja kabla ya mechi. ila ni jeraha dogo nafikiri atakuwepo next week. Je swali linakuja kwanini Riyad Mahrez alianzishwa badala ya Leroy Sane ? kiufupi ni kwamba Team haikuwa first 11 tuliyoijua na kuitegemea.
Tusubiri nextweek tuone First Eleven yetu.
Haitakuwa rahisi kuwa 0:0 mpaka wakat huoMtaiona next week hiyo hofu, ifike dakika ya 66 bado 0 - 0.
Hehehe mkuu sisi uefa yetu mwaka huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Juventus is nothing but ronaldoHamna timu ya UEFA, Tottenham hawaachi.
Kuna Juve pia around.
Sio mbali mkuu ww ngojaNikiangalia ulipo upana wa kikosi cha Tot... binafsi naukoswa team ka Man city siyakuwazia kutolewa kirahisi hivyo tena kwa tofauti ya gori 1.Hivi kwanza naona ka siku zinachelewa vile vimidomo vinataka kuzidi jinini.
Sent using Jamii Forums mobile app
SureUEFA Champions League anauhakika wa kuvuka hilo wala halina mjadala kwake, so anacho kiwaza yeye ni Epl na kikwazo cha C.palace akikumbuka last Dec, 22 walitugonga 3:2 Etihad sasa kesho tupo kwao na hiyo mechi ni mhimu sana tu win ili kujihakikishia kutwaa ubingwa hivyo lazima imwangishe kichwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani acha kesho iwe kesho, but tuki win tu mechi ya kesho ndoo uhakika wa kuitwaa coz tutakuwa tumebakiza kazi 1 tu kwa Tot..