Yeah.yaani acha kesho iwe kesho, but tuki win tu mechi ya kesho ndoo uhakika wa kuitwaa coz tutakuwa tumebakiza kazi 1 tu kwa Tot..
Sent using Jamii Forums mobile app
Watam sana.Walitoka 4-3 na Liverpool pale anfield
Yaani nikicheki naona kabisa Crystal Palace watatusaidia kuwadodondosha hata point mbili tu
Hiyo sahau hakuna droo hapo ni kipigo kwa kwenda mbele kati ya mechi alizo zikamia Guardiola ni pamoja na hiyo.Walitoka 4-3 na Liverpool pale anfield
Yaani nikicheki naona kabisa Crystal Palace watatusaidia kuwadodondosha hata point mbili tu
Waliwafunga sioWalitoka 4-3 na Liverpool pale anfield
Yaani nikicheki naona kabisa Crystal Palace watatusaidia kuwadodondosha hata point mbili tu
Mechi ipo kesho mkuu,tutaanza sisi mabingwa 16:5, then wao 18:30.
Yeah ngoja nichek analysis zaoMechi ipo kesho mkuu,tutaanza sisi mabingwa 16:5, then wao 18:30.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo sahau hakuna droo hapo ni kipigo kwa kwenda mbele kati ya mechi alizo zikamia Guardiola ni pamoja na hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo mkuu sema harakati zinabana muda mwingine ndio maana napotea
Hahaha kweli sio poaTulishinda 4-3 Anfield, ilikuwa mechi ngumu sana na ndio wametuchafulia Record yetu msimu huu ya kutoruhusu zaidi ya goli mbili iwe away au nyumbani
Nikweli Mkuu siku hizi tumekua wengi sasa ata uzi wetu unapata uchangamfu sasa na hali ikiendelea hivi siku zote itapendeza sana...Sawa mkuu, naona wageni wageni wamekuja baada ya ninyi kutupita point moja.
Kwema lakini?