The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Nikweli Mkuu siku hizi tumekua wengi sasa ata uzi wetu unapata uchangamfu sasa na hali ikiendelea hivi siku zote itapendeza sana...

Kwema mkuu vp za kwako?

Niko poa, sasa hivi kazi yangu imekuwa kukuombea mabaya.

Hivi kesho niko Crystal Palace
 
Chelsea fan lkn kesho Mungu aliyewaumba akipenda natamani sana tufungwe tu maana silipendi li Pep hata kidogo tokana na ubaguzi wake wa rangi nyeusi hasa Africans ili Liverpool wachukue tu ubingwa wa EPL
Game ya liverpool inaweza kuwa nyepesi sana.
Mm huwa siwaamini kabisa chelsea

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah! kwa upinzani tulionao sasa hivi mmoja kati yetu akisema anamuombea mema mwenzie atakua ni mnafki ndio maana nipo napiga maombi kuitakia ushindi Chelsea hapo kesho

Yaani mwaka huu, ubingwa ni patashika, top 4 ni patashika pia.

Halafu kuna game nyingi ambazo zinainvolve wanaotafuta top 4 na ubingwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…