Afadhali Msimu huu nachukua ndoo kwa upinzani mkali tofauti na msimu jana eti 100 points na kidogo tu niwe unbeaten....Yaani mwaka huu, ubingwa ni patashika, top 4 ni patashika pia.
Halafu kuna game nyingi ambazo zinainvolve wanaotafuta top 4 na ubingwa.
Hii kauli inaapply adi kwa Liver au City tu!?Ni ngumu kushinda zote.
Afadhali Msimu huu nachukua ndoo kwa upinzani mkali tofauti na msimu jana eti 100 points na kidogo tu niwe unbeaten....
Nakumbuka kuna msimu Chelsea walinipa ndoo pale Gerrard anaanguka watu wanapiga kamba City anainua kwapa, sasa Mkuu tegemea tena jambo hiyo kesho
Me pia namuelewa zaidi huyo dogo
Hii kauli inaapply adi kwa Liver au City tu!?
Afadhali Msimu huu nachukua ndoo kwa upinzani mkali tofauti na msimu jana eti 100 points na kidogo tu niwe unbeaten....
Nakumbuka kuna msimu Chelsea walinipa ndoo pale Gerrard anaanguka watu wanapiga kamba City anainua kwapa, sasa Mkuu tegemea tena jambo hiyo kesho
Hapo tupo pa1Naona wewe huyajui vizuri mahispania kwa ubaguzi wa rangi nyeusi, hujiulizi hata kwanini timu yao ya Taifa haina hata chembe chembe za ngozi nyeusi m1, unadhani hakuna raia weusi wenye vipaji hadi wewe weupe tupu[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubaya muda waliouweka majanga sana.Kesho tunasubiri Crystal Palace kwanza, mkishinda pressure itakuwa kubwa sana hiyo game.
Ila mkidroo tunashinda mapema sana.
Hahah kesho tutashinda tu labda maajabu ya soccer yatokeeKesho tunasubiri Crystal Palace kwanza, mkishinda pressure itakuwa kubwa sana hiyo game.
Ila mkidroo tunashinda mapema sana.
We jamaa mbona kila siku wewe ni kulia lia tu hauiamini timu yako tulia relaxUbaya muda waliouweka majanga sana.
Liverpool anaingia huku najua matokeo.
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1070842
Unamaanisha hii[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππKwa kocha kilaza kama yule hata nikiikosa siwezi kamwe kujutia, hv kweli Carabao tumeenda dkk 120 na Man City bila ya hata kupata shot on target 1 langoni mwa Man City afu niendelee kujipa presha ya kukosa top 4 [emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah kesho tutashinda tu labda maajabu ya soccer yatokee
Brother tuna ratiba ngumu sana.We jamaa mbona kila siku wewe ni kulia lia tu hauiamini timu yako tulia relax
Ewaaah ndio hiiView attachment 1070842
Unamaanisha hii[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua liverpool tangu watoke na madogo 4:3Hahah kesho tutashinda tu labda maajabu ya soccer yatokee