Hii ya kutegemea msiba kwa flani ndo tukale hapo haifai tena dawa ni kupambana na hali yetu but naamini liver failure watakuja dondoshwa na Newcastle ama Wove...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu habari yako? Hivi na wewe ni shabiki wa majogoo?Sawa mkuu kama nitaweza nitakuja kufukua hili kaburi
Mkuu habari yako? Hivi na wewe ni shabiki wa majogoo?
Hongera sana maana wewe ndio mpinzani pekee uliebaki wengine wanagombea nafasi za nne, pia hongera kwa ushindi wa leoMie mtoto wa Anfield kabisa
Hongera sana maana wewe ndio mpinzani pekee uliebaki wengine wanagombea nafasi za nne, pia hongera kwa ushindi wa leo
Sijaona time ya kunizuia pekee EPL labda wangekuja watoto wenzetu wa mjini Mbeya cityThanks
Najua katika mechi mbili zijazo lazima udondoshe points na hapo ndipo mnakuwa mmetupa ubingwa
Sure hatupaswi kabisa kupotezaNa old trafford msubir...tunaitaji points 3
Yeah ni ngumu sanaHii ya kutegemea msiba kwa flani ndo tukale hapo haifai tena dawa ni kupambana na hali yetu but naamini liver failure watakuja dondoshwa na Newcastle ama Wove...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hazard kakosa nafasi za waziYaani kwa ubovu walouonesha Chelsea leo hata siamini macho kwa kile nilicho kishuhudia anyway mapambano yanaendelea vita bado vinasonga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu aweke wazi hahhahaMkuu habari yako? Hivi na wewe ni shabiki wa majogoo?
Ni kweli lakin zote sisi ndo tunanafasi kubwa ya ushindiThanks
Najua katika mechi mbili zijazo lazima udondoshe points na hapo ndipo mnakuwa mmetupa ubingwa
Spurs labda apate goli la ugenini nje ya apo ngoma ni nyepeNina uhakika tottenham wakiwa makini basi wanapata at least draw pale Ettihad
Tottenham wana beki bwana, sasa kama Westham waliwasumbua Etihad mkashinda 1-0 tena goli la penati sasa vipi kwa Spurs?
Mi nasemea mechi ya jumapili EPL
Sijaona time ya kunizuia pekee EPL labda wangekuja watoto wenzetu wa mjini Mbeya city
Hata kwa Palace mlisema kauli za namna hii lakini tambueni gari moshi linapo shika high speed huwa halisimamishwi ghafla hadi kwenye kituo nadhani utakuwa umeelewa.Nina uhakika tottenham wakiwa makini basi wanapata at least draw pale Ettihad
Tottenham wana beki bwana, sasa kama Westham waliwasumbua Etihad mkashinda 1-0 tena goli la penati sasa vipi kwa Spurs?
Maombolezo yanaendeleaje Mkuu