The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hongera sana maana wewe ndio mpinzani pekee uliebaki wengine wanagombea nafasi za nne, pia hongera kwa ushindi wa leo

Thanks

Najua katika mechi mbili zijazo lazima udondoshe points na hapo ndipo mnakuwa mmetupa ubingwa
 
Thanks

Najua katika mechi mbili zijazo lazima udondoshe points na hapo ndipo mnakuwa mmetupa ubingwa
Sijaona time ya kunizuia pekee EPL labda wangekuja watoto wenzetu wa mjini Mbeya city
 
Nina uhakika tottenham wakiwa makini basi wanapata at least draw pale Ettihad

Tottenham wana beki bwana, sasa kama Westham waliwasumbua Etihad mkashinda 1-0 tena goli la penati sasa vipi kwa Spurs?
Hata kwa Palace mlisema kauli za namna hii lakini tambueni gari moshi linapo shika high speed huwa halisimamishwi ghafla hadi kwenye kituo nadhani utakuwa umeelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TOTTENHAM droo tu inatosha Hahahahahahahahah Ngoja nianze kuandaa Suti ya Part ya Ubingwa Hahahahahahahahah
 
Back
Top Bottom