That's sureInaweza tokea,, ila kila nkiwaangalia Ajax, wale watoto sijui wametafuna mizizi gani aiseeeeh,, maninaaa zao hawachoki kabisa kiukweli,, alafu kama miguu yao ina 4G ivi, sijui unanielewa mkuu? Ila hawa Spur nao kama nyuki vile ukipiga kelele ndo wanakuja yaaani,, yule SON daah sijui ana kifua cha kugh-fu? Ila timu zote nusu fainali zinachezea mpira
Humjui Christian Eriksen basi utakuwa sio mtu wa Mpira wewe.Amina, japo simjui huyo Christian Er ni nani hasa ktk ulimwengu wa soka Chifu[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah! Obvious hawezi kua anatupenda kama sisi tulivyo hatumpendi yeye maana tumekua ni Mahasimu sasa...Davet achana na uyu jamaa atupendi.
Mwakan atakakaakimya mwenyewe.
Sisi kinatuponza makosa madogo madogo tu nje ya hapo sisi ndo timu bora kabisa duniani for years
Najua kabisa hupendi hichi kitu kitokee na ninajua ni kwanini hupendi kitokee 😂😂😂
For sure itatugharumu muda sana aisee.Hiyo ndiyo point nayozungumzia, unaposema eti Ulaya wanakuchukia lazima ibebwe na Facts kwamba ume-achieve.
City ni timu nzuri sana, lakini unahitaji kushinda makombe Ulaya ili watu waiogope na kuichukia kama jamaa anavyosema.
Leo hii City na PSG huwi hata na pressure kubwa ukipangwa nao, tofauti na kupangwa na Bayern, Real Madrid, Barca, Liverpool, Juve etc.
Imagine PSG na ubora aliokuwa nao kakalishwa na Man Utd! Experience Uefa ni kitu kikubwa sana.
Alimradi bado tunashiriki.Hahah! Obvious hawezi kua anatupenda kama sisi tulivyo hatumpendi yeye maana tumekua ni Mahasimu sasa...
Kuhusu mwakani kuchukua ndoo Inshaalah maana itakua ni furaha kwetu pia itatupa uwezo wa kukaa meza moja kuanza kubishana kuhusu UCL na timu kama Liver,Man U na Chelsea
Ukitafuta list ya makocha bora au makocha waliochukua vikombe vingi huwezi kumkuta kocha akiwa na timu iliyo nje ya Top four
Mr. Don hebu sema interval yenu ya kuchukua UEFA utagundua inasikitisha pia .
Liverpool imekiwa timu watu kujichukulia ubingwa.
Mmeingia final mara nyingi kuliko mlizochukua..that won't be for city.
Time will tell
Indeed mkuu umenena uhalisia japo sijajua mkuu goswe kazungumzia chuki kwa upande upi ila sitaki kuamini kua chuki inaweza kuletwa na achievement tu, naamini chuki inaweza kuletwa na mambo mengine nje ya hapo....Hiyo ndiyo point nayozungumzia, unaposema eti Ulaya wanakuchukia lazima ibebwe na Facts kwamba ume-achieve.
City ni timu nzuri sana, lakini unahitaji kushinda makombe Ulaya ili watu waiogope na kuichukia kama jamaa anavyosema.
Leo hii City na PSG huwi hata na pressure kubwa ukipangwa nao, tofauti na kupangwa na Bayern, Real Madrid, Barca, Liverpool, Juve etc.
Imagine PSG na ubora aliokuwa nao kakalishwa na Man Utd! Experience Uefa ni kitu kikubwa sana.
M. Davet humu kunawatu wameshikilia bango la ubaguzi.Indeed mkuu umenena uhalisia japo sijajua mkuu goswe kazungumzia chuki kwa upande upi ila sitaki kuamini kua chuki inaweza kuletwa na achievement tu, naamini chuki inaweza kuletwa na mambo mengine nje ya hapo....
Kwamfano kuna mdau humu anasema anaichukia City sababu ya uwepo wa kocha(Pep)....
Mm nabisha MOURHINO BORA ZAIDI.Mkuu guadiola anamambo madogo anazingua.
Anahitaji kujirekebisha.
Nje ya ayo yeye ndie kocha bora duniani.
NAni anabisha?
Ona uyu nae anamuweka morinho huu ya pep.
Indeed mkuu umenena uhalisia japo sijajua mkuu goswe kazungumzia chuki kwa upande upi ila sitaki kuamini kua chuki inaweza kuletwa na achievement tu, naamini chuki inaweza kuletwa na mambo mengine nje ya hapo....
Kwamfano kuna mdau humu anasema anaichukia City sababu ya uwepo wa kocha(Pep)....
Haha jana nilienda kichek game kibanda umiza.
King alitoa ahadi nzito kwa mashabiki wa Barca ndio maana unaona anavyopambana, Hopefully ahadi yake ataitimizaKumbe majibu unayo ee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wapigwe tu
Umechukua nn Mara tano mkuu!!?Tumechukua mara tano akiwepo.
Ww umechukua mara ngap mkuu!
Hii game ya liverpool na barca itakuwa ni game ya magoli mengi sana pande zote mbiliKing alitoa ahadi nzito kwa mashabiki wa Barca ndio maana unaona anavyopambana, Hopefully ahadi yake ataitimiza
Not salah.
Ila izo game unazoziona nyepenyepe ndo mbaya.
Unagame 4 city bado 5.
Na bado unaratiba ngumu